Kichwa Ze Don
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 226
- 350
Leo Watu Wameona Umuhimu Wa Saka
Kuna kitu kinamiss ule upande wa kuliaLeo Watu Wameona Umuhimu Wa Saka
WhiteWhat a start of a second half 2-0
Amakuwa mpishi wa magoliTrossard technical player in my book
Nimeanza ku note falsafa yetu Sasa tunasajili Technical player tu
Maguvu ,fujo tuwaachie manjesta
Tik Tak hiyo anasema walifundishwa Barcelonahuu mfumo arteta kautoa wapi watu mbele wengi na nyuma wengi ...wanakaba wote aisee
Ukimuangalia muda mwingi Zichenko yuko katiTik Tak hiyo anasema walifundishwa Barcelona
Hata kumfanya Beki au mchezaji yeyote kuwa nafasi nyingine ndan ya mechi
Falsafa za Johan Cruyff
Mfumo Ni 4-3-3
Ila ndan mabeki watatu
Mfano leo City vs Liverpool kwenye makaratasi City 4-3-3 lakini ndan John stones alikuwa anakuwa Holding Midfielder
Arsenal tunamtumia Zinny LB kuwa Holding au Attacking Midfielder
The Boss kampumzishaTaungalia jinsi ya kumpa hat trick jesus hapa