Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji599] Mikel Arteta says that Gabriel Jesus is more ready, and better than ever.

[emoji2788] Arteta says that he is creating “chaos” in training, and is ready to make “unique moments”.

[emoji2788] The boss also claimed that Jesus had made a “big step forward” in the last 10 day, and is not “thinking about his (injury)”

[emoji736] With his newly tweaked boots, and an elite mentality, Jesus will be the key to Arsenal winning the title.
IMG_20230308_192102.jpg
 
Najivunia kuwa mshabiki wa club kubwaa,,,,
Come on you gunners
[emoji16][emoji16][emoji16] hio club kubwa yenyewe sasa:
*Mara ya mwisho kubeba Epl ni miaka 20 iliyopita.
*Mara ya mwisho kushiriki Uefa ni miaka 8 iliyopita.
*Club kubwa ambayo tokea kuumbwa dunia haijawahi shinda kombe la Uefa.
*Club kubwa ambayo tokea kuumbwa dunia haijawahi shinda hata kombe la Europa.

Arsenyani ni Club kubwa labda kwenye michuano ya FA, maana kila baada ya miaka mitatu hua inabahatika kuchukua walau mara moja,
Kuna kamstari kembamba sana kanakotenganisha ukubwa wa Arsenal na Crystal Palace.

# One season wonder

tapatalk_-2040437427_471x512.jpg
 
View attachment 2572749
Acha wivu wa mademu wa kitaa. Arsenal kuwa kubwa au ndogo kusikutishe. Angalia wafanyayo sasa
 
LEWIS DUNK

Arsenal wana safu ya ushambuliaji tishio zaidi kwa sasa, kila ukifikiria kukumbana na saka,odergaad,jesus na sasa wana trossard...., kuna muda unatamani uwe golikipa.

Nahodha wa Brighton [emoji16][emoji16][emoji16]

Arsenal play today And the whole world is happy [emoji7][emoji7]

[emoji739] Leeds united
[emoji3497] 17:00
[emoji2522] Emirates Stadium
[emoji471]Primier League
[emoji343] Live coverage on arsenal.com
IMG-20230401-WA0002.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom