Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahah! Arsenyani hamna bahati. Timu za kuifunga City kwa mechi zilizobaki zimeshaisha.

Ila nyie mnaweza kufungwa na timu yoyote katika mechi zilizobaki. 😂

Arsenal hawezi kubeba ubingwa, Pep na EtH wakiwepo EPL.
 
Hivi kwanini ile ya pili ya Rodri isiwe red card?

Man City wakifikia stage hii, huwa wanabebwa wazi wazi.

Nakumbuka kuna msimu nyuma Rodri huyu huyu alishika mpira akafunga na goli likakubaliwa.
Mshaanza kuogopa. 😂
 
Hahah! Arsenyani hamna bahati. Timu za kuifunga City kwa mechi zilizobaki zimeshaisha.

Ila nyie mnaweza kufungwa na timi yoyote katika mechi zilizobaki. 😂

Arsenal hawezi kubeba ubingwa, Pep na EtH wakiwepo EPL.
Ushabiki unakufanya mtu uwe mjinga.

Unakufanya uwe huna kumbukumbu.

Unakufanya uforce kuitaja timu yako hata sehemu haihusiki
 
Hahah! Arsenyani hamna bahati. Timu za kuifunga City kwa mechi zilizobaki zimeshaisha.

Ila nyie mnaweza kufungwa na timu yoyote katika mechi zilizobaki. 😂

Arsenal hawezi kubeba ubingwa, Pep na EtH wakiwepo EPL.
Kila mtu ashinde mechi zake

City bado atadrop not less than 5 points
 
Itakua alifata mafao

Atakula benchi hadi makalio yaote sugu
Sasa hivi ana 27 yaani umri unaotakiwa awe kwenye prime yeye yupo benchi.

Akitoka hapo ataenda mid table team moja ila kihistoria ataonekana aliwahi shinda makombe kadhaa.
 
Wale mashabiki wanaodai 'You'll never walk alone' wananyanyuka na kuondoka huku mechi inaendelea
 
Hii combo ya leo mbona itakua mchaka mchaka

Mbavu akichukua Jesus Trossard anakuja kati mbavu nyingine Martinelli

Nelli akija kati mbavu moja Jesus mbavu nyingine Trossard

Ni full msako yani rotation hadi utatoa unachokibania
20230401_163938.jpg
 
Back
Top Bottom