Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna nyumbuz nilikua naangalia nao mpira eti walikua na imani Leeds watapata sare kama walivyopata dhidi yao.

Mechi imeisha wanasema wataongea baada ya mechi ya Liverpool.

Hawa jamaa watahama hama mpaka mechi ya mwisho tukichukua ubingwa watahamia msimu ujao!😂😂
 
Sasa hivi zile kelele za kumlinganisha Jorginho na Partey zimeisha.

Alivyotoka Partey unaona kabisa timu inakosa balance.

Nyie huyu Partey asiumie aisee, kama kweli tunataka ubingwa!
Sijatizama game, ila partey ni mtu mwingine, kwa jinsi anvyocheza anavyonyumbulika jamaa fundi saana, ni mtu sahihi zaidi kwa timu inayotokea chini.
 
Semeni yote mtayosema, ila mentality ya huyu jamaa ni another level

Yani kafanyiwa sub amemaindi maana alikua anasaka hat trick yake
20230401_175556.jpg
 
Semeni yote mtayosema, ila mentality ya huyu jamaa ni another level

Yani kafanyiwa sub amemaindi maana alikua anasaka hat trick yakeView attachment 2573277
Jesus ana hatari Sana aisee ,Arteta alisema ana create chaos ,

Jamaa anakaba ,anaenda winga , anakupa dribbling , anakupa energy ya kutosha

Angekuwaga na finishing ya kiwango kikubwa angekuwa anafananishwa na Delima ,waliomuona Delima ambaye ndio Icon ya no.9 sio wale wakusubiri kulishwa watakuwa wananielewa

Jesus kanyimwa finishing ya kiwango
 
Finishing nzuri ataipata kwenye training kwa jinsi alivyo anaweza kufanyia mazoezi na akaongeza ufanisi kiasi katika hilo
 
Back
Top Bottom