Mkuu tuliwaambia kuhusu Domino Effect ya kile kichapo cha Birmingham wakasema tuna chuki binafsi, ooh mwaka huu wao, mara blah blah!!Nakumbuka kumwambia Wacha hayo maneno na kwamba pia watamaliza nafasi ya nne, hii ilikuwa mara tu baada ya kile kichapo kutoka kwa Birmingham pale Wembley! Lakini jamaa kama kawaida kaleta ubishi bila kuangalia facts, sasa kaingia mitini na aibu mbaya.
Na huna haja ya ku-commit suicide...
Wangeongezea mechi nyingine nne au tano mngeishia wa tano au sita.Inasikitisha sana kuporomoka mpaka nafasi ya nne...
Gunners 4 life,in good and bad time sisi tunakomaa hapahapa, maswahiba nimerudi, nilikuwa Bongo kipindi nauguza Bimkubwa mpaka last week bahati mbaya nimemzika,tupo pamoja msimu umekwisha tunangalia next season. PAMOJA!!
My condolences kaka.. Mungu amlaze mahali pema peponi.Gunners 4 life,in good and bad time sisi tunakomaa hapahapa, maswahiba nimerudi, nilikuwa Bongo kipindi nauguza Bimkubwa mpaka last week bahati mbaya nimemzika,tupo pamoja msimu umekwisha tunangalia next season. PAMOJA!!
Gunners 4 life,in good and bad time sisi tunakomaa hapahapa, maswahiba nimerudi, nilikuwa Bongo kipindi nauguza Bimkubwa mpaka last week bahati mbaya nimemzika,tupo pamoja msimu umekwisha tunangalia next season. PAMOJA!!
Wangeongezea mechi nyingine nne au tano mngeishia wa tano au sita.
Mkuu tuliwaambia kuhusu Domino Effect ya kile kichapo cha Birmingham wakasema tuna chuki binafsi, ooh mwaka huu wao, mara blah blah!!
Nakumbuka kumwambia Wacha hayo maneno na kwamba pia watamaliza nafasi ya nne, hii ilikuwa mara tu baada ya kile kichapo kutoka kwa Birmingham pale Wembley! Lakini jamaa kama kawaida kaleta ubishi bila kuangalia facts, sasa kaingia mitini na aibu mbaya.
Wacha1 nakutafuta kwa udi na uvumba..jitokeze kamanda!!!
Gunners For Life!
Arsenal's 2003-04 side unbeaten imebaki Olden Times.Itachukua muda mrefu sana kujirudia.Na mwakani kazi ipo kama hawatofanya usajili wa maana wategemee nafasi ya Sita. Deem!
Naona mmerud kwenye nafasi yenu..lol! inauma lakini..duuh!
Nakumbuka maneno ya Peasant, ....' we will finish ABOVE' u'.....
Ushabiki kaz kwelkwel...
Mdau pole sana kwa masaibu ya kidunia.Gunners 4 life,in good and bad time sisi tunakomaa hapahapa, maswahiba nimerudi, nilikuwa Bongo kipindi nauguza Bimkubwa mpaka last week bahati mbaya nimemzika,tupo pamoja msimu umekwisha tunangalia next season. PAMOJA!!
Nilikwenda kidogo kutafuta tiketi kwa ajili ya Roland Garros
Gunners 4 life,in good and bad time sisi tunakomaa hapahapa, maswahiba nimerudi, nilikuwa Bongo kipindi nauguza Bimkubwa mpaka last week bahati mbaya nimemzika,tupo pamoja msimu umekwisha tunangalia next season. PAMOJA!!
Gunners 4 life,in good and bad time sisi tunakomaa hapahapa, maswahiba nimerudi, nilikuwa Bongo kipindi nauguza Bimkubwa mpaka last week bahati mbaya nimemzika,tupo pamoja msimu umekwisha tunangalia next season. PAMOJA!!
Gunners 4 life,in good and bad time sisi tunakomaa hapahapa, maswahiba nimerudi, nilikuwa Bongo kipindi nauguza Bimkubwa mpaka last week bahati mbaya nimemzika,tupo pamoja msimu umekwisha tunangalia next season. PAMOJA!!
Khe khe khe zimerejea. Baada ya kuugulia na maumivu kupungua 😛ound: