hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Mchezaji wa Celta Vigo Gabri Veiga ana ndoto za kuhamia Arsenal huku Manchester United ikimuwindwa [emoji2788]
kulingana na Faro de Vigo Anataka
"Kutimiza ndoto ya kusaini Arsenal"
Mchezaji huyo amezivutia klabu za Manchester United, Manchester City, Newcastle United, na Napoli.
[emoji2788] Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 anapenda mradi wa Mikel Arteta na mtazamo wa Arsenal kwa vijana, hivo kuwafanya The Gunners kuwa mahali anapopendelea zaidi.