Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Unajua kwanini tunamsajili Raphinha? au kwanini ni lazima tusajili Winger dirisha hili?
Ni kwamba Wingers wapo wawili tu Arsenal (Saka & Martinelli). ESR anaweza kutokea pembeni ila sio winger kiasili, ESR ni namba 8/ #10 hybrid, anacheza sana kwenye half space, natural wide players wanasifa ya kufanya runs in behind hivyo wanastretch zaidi uwanja. Kwa hiyo ni lazima tupate winger kuleta tactical balance in the long run.
How about pepe sio Winger asilia?