Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I'm not sure ila nahisi we're not signing Youri Tielemans this window, japo unaweza kuwa sahihi.

Hoja ya Arteta kumuona Soares km backup RB ni political zaidi, vs Man city / Liverpool lazima umkatae. Hana technical consistency, km Tomiyasu akiumia binafsi namuona Saliba #4, White #2.

Kwa kweli lack of technical quality from Soares/ Tavarez/ Holding imetucost Uefa msimu ulioisha.
Uliona mbali Sana, Kama vile upo kwenye kichwa Cha Mikel
 
Arsenal will prioritise another attempt to sign Brighton and Ecuador midfielder Moises Caicedo, 21, in the summer. (Football Transfers)
 
TP si mzuri kwa matumizi ya mpira kama alivyo Bosquets au Rodrigo japo TP ni bora kuliko Casemiro in this regard. Hivyo Zinny kuwa inverted Arsenal inachangiwa na mambo matatu, moja kusadia progression, huu ni udhaifu wa namba 6 wetu ku supply clean balls kwenye tight areas kitu ambacho Declan anafanya every damn time

Pili, tunamtumia GX kama LCM ambaye ni mzuri defensively, traditional CM, lakini si mchezaji wa ku dicate tempo ni Zinny anayekuwa tempo setter lakini na Xhaka kwa kuwa ni box to box so every damn time anaenda kila box kusaudia wachezaji wengine automatically inacontrol tempo,

Tatu Zinny & White wanakuwa inverted ku provide midfield compactness wakati wa defensive transition (235 in settled attacks) so hata TP ingawa ana pnp anahitaji watu kumsaidia ku cover eneo la pivot, akiwa peke yake anakuwa Vulnerable. Rice ni tempo setter na pia ni destroyer, he will sort out our midfield imbalances with ease. Mwanzo anakuwa upgrade role ya Xhaka huku TP akiendelea kama 6 ila baadae kama unampata mid aina ya Pedri au Xavi then Rice ni upgrade kwa TP cuz ni mzuri kutumia mpira kuliko Partey, so our midfield dynamic inakuwa ø, rice maybe Patino au mchezaji kama Pedri/ paqueta.

Im not saying that Rice is the best holding midfielder itw rn but he gonna be the best itw under Mikel Arteta.
Sema wewe jamaa unamkosea sana heshima TP,mchezaji peke anayeweza kumweka banch TP Busquets yule aliekuwa kwenye ubora wake.huyo rice ni mchezaji wa kawaida sana.sifa moja ya kiungo wa level ya dunia ni kuwa comfortable na mpira kabla ya kkuanza kufanya chochote,sasa rice is not that comfortable.Mfano TP ile mechi na man city angekuwepo tusengefumgwa.kitu watu hawajui ni kwamba hakuna mechi msimu huu tumepoteza partey akiwa ameanza mpaka kumaliza
 
Partey Vs Casemiro Vs Rice Vs Rodri player comparison - 22/23 Premier League [emoji408]

[emoji3504] Played - 23 / 19 / 26 / 26
[emoji460]️ Goals - 3 / 2 / 2 / 2
[emoji3464] Blocks - 5 / 8 / 11 / 13
[emoji43] Fouls - 24 / 35 / 19 / 35
[emoji317] Dispossessed - 15 / 10 / 20 / 14
[emoji777] Tackles won %- 60 / 50 / 43 / 64
[emoji612] Pass success % - 87 / 78 / 89 / 91
[emoji673] Forward passes % - 27 / 34 / 27 / 21
🟡 Yellow cards - 2 / 5 / 4 / 3
[emoji837] Red cards - 0 / 2 / 0 / 0
IMG_20230327_144836.jpg
 
Things I learnt [emoji310]

Moyes & Southgate play Rice way too defensively. Not a CDM, more of a box-to-box 6.

Rodri is the player they say he is. Absolute beast, all whilst Man City centre backs have been chopped and changed all season long.
 
Saliba Vs Schar Vs T. Silva Vs Romero - 22/23 Premier League stats [emoji408]

[emoji3504] Played - 27 / 24 / 20 / 18
[emoji460]️ Goals - 2 / 1 / 0 / 0
[emoji3464] Blocks - 11 / 14 / 20 / 9
[emoji777] Tackles - 35 / 19 / 32 / 47
[emoji2087] Dribbled past - 3 / 5 / 6 / 11
[emoji721] Clearances - 81 / 98 / 84 / 60
[emoji612] Pass success % - 91 / 76 / 91 / 88
[emoji928] Aeriel duels won - 54 / 67 / 40 /36
IMG_20230327_150603.jpg
 
Ødegaard Vs Bruno Vs De Bruyne Vs Maddison - CAM 22/23 Premier League stats [emoji408]

[emoji3504] Played - 27 / 25 / 22 / 19
[emoji460]️ Goals - 10 / 5 / 4 / 9
[emoji2402] Assists - 6 / 6 / 12 / 6
[emoji360] Key passes - 62 / 70 / 69 / 46
[emoji736] Pass success % - 84 / 77 / 79 / 82
[emoji2087] Dribbles - 35 / 20 / 22 / 19
[emoji1634] Shots - 76 / 55 / 51 / 55
[emoji317] Dispossessed - 38 / 35 / 22 / 19
[emoji294]️ MOTM - 5 / 4 / 7 / 3
IMG_20230327_150921.jpg
 
Martinelli Vs Almiron Vs Foden Vs Antony - offensive Premier League stats

[emoji3504] Played - 27 / 24 / 17 / 13
[emoji460]️ Goals - 13 / 11 / 9 / 3
[emoji2402] Assists - 2 / 1 / 4 / 0
[emoji360] Key passes - 41 / 17 / 24 / 11
[emoji2087] Dribbles - 41 / 24 / 19 / 13
[emoji1634] Shots - 65 / 48 / 26 / 34
IMG_20230327_151429.jpg
 
Saka Vs Kvaratskhelia Vs Rashford Vs Vini Jr [emoji91]

I respect and rate them all highly. Here are some stats for this seasons league:

[emoji460]️ Goals - 12 / 12 / 14 / 8
[emoji2402] Assists - 10 / 10 / 3 / 4
[emoji360] Key passes - 61 / 38 / 18 / 49
[emoji2087] Dribbles - 46 / 32 / 41 / 79
[emoji1634] Shots - 69 / 66 / 69 / 63
IMG_20230327_151658.jpg
 
partey atabaki kuwa partey na kila mchezaji atabaki kuwa kama yeye jinsi alivo.. ishu za kusem replacement kw mchezaji nd huwa zinafelisha makocha wengi sna duniani..

kila mchezaji ana daraja lake (limit)..
 
Partey anacheza vile kutokna na mfumo na mwalimu anatk hacheze vile.Sabbu partey wa atletic madrid alikuwa anakisha sana na alikuwa hachez kma leo hii anavyo cheza arsenal
 
TP si mzuri kwa matumizi ya mpira kama alivyo Bosquets au Rodrigo japo TP ni bora kuliko Casemiro in this regard. Hivyo Zinny kuwa inverted Arsenal inachangiwa na mambo matatu, moja kusadia progression, huu ni udhaifu wa namba 6 wetu ku supply clean balls kwenye tight areas kitu ambacho Declan anafanya every damn time

Pili, tunamtumia GX kama LCM ambaye ni mzuri defensively, traditional CM, lakini si mchezaji wa ku dicate tempo ni Zinny anayekuwa tempo setter lakini na Xhaka kwa kuwa ni box to box so every damn time anaenda kila box kusaudia wachezaji wengine automatically inacontrol tempo,

Tatu Zinny & White wanakuwa inverted ku provide midfield compactness wakati wa defensive transition (235 in settled attacks) so hata TP ingawa ana pnp anahitaji watu kumsaidia ku cover eneo la pivot, akiwa peke yake anakuwa Vulnerable. Rice ni tempo setter na pia ni destroyer, he will sort out our midfield imbalances with ease. Mwanzo anakuwa upgrade role ya Xhaka huku TP akiendelea kama 6 ila baadae kama unampata mid aina ya Pedri au Xavi then Rice ni upgrade kwa TP cuz ni mzuri kutumia mpira kuliko Partey, so our midfield dynamic inakuwa ø, rice maybe Patino au mchezaji kama Pedri/ paqueta.

Im not saying that Rice is the best holding midfielder itw rn but he gonna be the best itw under Mikel Arteta.
Unaona huku mwisho uliposema 'Under Arteta' hichi sasa ndiyo ninachomaanisha mimi kwamba akifika anatakiwa awe adjusted kwanza. Hatotoa matokeo instant, ila Zubimendi akifika anaanzia alipoishia
 
Unaona huku mwisho uliposema 'Under Arteta' hichi sasa ndiyo ninachomaanisha mimi kwamba akifika anatakiwa awe adjusted kwanza. Hatotoa matokeo instant, ila Zubimendi akifika anaanzia alipoishia
Jack willshere amesema anaamini Rice atabadilika under Arteta

[emoji2788]| Jack Wilshere gives his approval on Declan Rice to Arsenal:

“I'm looking forward to wherever he goes. I hope it is Arsenal… Mikel would develop him. It would be a massive signing and a perfect fit”

[emoji2788] “Mikel would develop him, bring him on even more and he would be massive for the team as well. I have had conversations with Rice and told him what he is doing in unbelievable, he is captain of a big PL club and is always learning.”
 
Kuna wachambuzi Since wanafiki Sana ,mwaka Jana Conte walisema atagombea ubingwa msimu huu , dirisha kubwa kaongezewa Bissouma, Richalrson ,n.k January kaongezewa Porro kwa €50m, sababu ya mpira wake wa ovyo wale wale wachambuz wanasema Levy ameshindwa kumsapoti

Since 2020, #Arsenal have spent £391.5m; Spurs have spent £337.5m.

Spurs have also added Danjuma and Lenglet on loan, and Kulusevski and Porro on loans with obligations.

When they become permanent, they will have outspent us.

Levy backs managers; they just buy garbage.
 
[emoji599] Thomas Partey starts from the BENCH as Ghana face Angola in their final African Cup of Nations qualifier of the international break. [emoji1110] #afc
 
Kuna wachambuzi Since wanafiki Sana ,mwaka Jana Conte walisema atagombea ubingwa msimu huu , dirisha kubwa kaongezewa Bissouma, Richalrson ,n.k January kaongezewa Porro kwa €50m, sababu ya mpira wake wa ovyo wale wale wachambuz wanasema Levy ameshindwa kumsapoti

Since 2020, #Arsenal have spent £391.5m; Spurs have spent £337.5m.

Spurs have also added Danjuma and Lenglet on loan, and Kulusevski and Porro on loans with obligations.

When they become permanent, they will have outspent us.

Levy backs managers; they just buy garbage.
Conte kafukuzwa siku ya birthday ya Arteta.

Yaani ukikutana na timu inaongozwa na kocha mzoefu na nyingine inaongozwa na kocha ametoka kua msaidizi ukimhofia mzoefu hatutashangaa. Isipokua Arteta tayari alishaonyesha brilliance ilikua ni drama kum-write off kwa mtindo huo.

Same defence tuliyoambiwa haifundishiki Arteta alimaliza nayo msimu ikiwa tatu bora ya defense. FA dhidi ya Chelsea iliyoonekana imekamilika CS dhidi ya Liva ya moto kabisa.

On top of that second round ya msimu uliopita Arsenal tulikua tupo kwenye tempo nzuri mno na ndiyo hiyo tukaanza nayo msimu.
 
Sasa Kuna wachambuzi Sababu ya maneno ya Conte ya kuji defence wanamuona kaonewa kufukuzwa ,huyu Conte kapewa Bissouma, Richalrson, Spence huyu kashindwa kumtumia kisa aliona Arsenal tumekuwa nae linked akaona atuvuvurugie ,kaishia kuua kipaji chake ,Richarlson ,Son, n.k wamekuwa butu

Ukweli unafichwa ule mpira wa Conte ni wa hovyo , utakusaidia miezi miwili mitatu utarudi kwenye default settings
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom