Naomba nichangie kidogo kwa 4-3-3 ambayo tunatumia Lone 6
Lazima tu umtumie Rodri
Yaan hata Casemiro hafai ,binafsi namuona Rice Ni version ya Casemiro
Viungo wa namna hii Kuna vitu Wana hitaji ili kucheza lone 6
Ile kuhusishwa kwenye buildup na u supply mipira pande zote kwa usahihi ,ukifanyiwa pressing utoboe vzr tu, ukave eneo kubwa peke yako sio kazi nyepes
Thus why pale Madrid casemiro alikuwa hausishwi kwenye buildup, Ni Modric na Kross ndio wanachukua mipira chini na kuanza kusupply kwa pass zao ndefu na za ufundi , casemiro alikuwa Ni kukaba na kuwapa hao mafundi mpira wautendee kazi.
Manjesta Wanataka Casemiro acheze Kama lone 6 za modern football ahusike kwenye buildup , akave eneo kubwa ,ndio maana Yellow and Red cards zinamuandama , lakini Rodri, Partey ,kina busquet uchezaji wao wanaweza kutoka uwanjan wasafi
Football ya zaman bado inaamini no.6 lazima awe na fujo ,mkorofi, kadi za njano na nyekundu azipate