Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna clip ya Mudryk hapa, kwako ndugu castr ulinambia hawezi kufanya nini sijui, Mudryk anafanya kila kitu, this is the ballon d'or level talent. View attachment 2566590
Mkuu video yako ni imethibitisha tu nilichokua nasema na nitakirudia tena.

Mudryk ni chance creator mzuri kuliko finisher. Hii compilation inaonyesha akifanya hicho hicho nilichowahi sema kwamba ndiyo ana ukali nacho.

Nilisema pia kwa sasa ukali wake kwenye creating chances unafichwa na chelsea kukosa striker au finishers pale mbele. Hii ni kwakua Sterling, Kai, Pullisic, Mount, Ziyech sajili zao tatu mpya za Nkunku, Felix na Madueke wote ni chance creator wazuri kuliko finishers.

So wanaweza create chances 5 ila moja au mbili ndiyo zikawa goli.
 
Saka anachowafanya Ukraine huko

1 goal

1 assist
IMG_20230326_195814.jpg
 
Mkuu video yako ni imethibitisha tu nilichokua nasema na nitakirudia tena.

Mudryk ni chance creator mzuri kuliko finisher. Hii compilation inaonyesha akifanya hicho hicho nilichowahi sema kwamba ndiyo ana ukali nacho.

Nilisema pia kwa sasa ukali wake kwenye creating chances unafichwa na chelsea kukosa striker au finishers pale mbele. Hii ni kwakua Sterling, Kai, Pullisic, Mount, Ziyech sajili zao tatu mpya za Nkunku, Felix na Madueke wote ni chance creator wazuri kuliko finishers.

So wanaweza create chances 5 ila moja au mbili ndiyo zikawa goli.
Finishing si hizo anafanya babu, au unataka finishing ipi? Walau ungeweka comp inaonesha si finisher mzuri maybe ngekuelewa.
 
Mkuu ikatokea tuna uwezo wa kumchukua Rice au Zubimendi halafu tukamchukua Rice itabidi tusubiri hadi aive. Mfano sasa hivi ukimuangalia Zubimendi unaona ni kiungo ambaye anakupa anachokupa Partey instantly ila Rice bado anatakiwa kumaster game na kama unavutiwa na Busquet basi utaelewa kwanini Barca pia wanamtaka Zubimendi.

Rice ni mzuri kama target yetu iko lower as akija itabidi aadjust, mi nikimuangalia Rice naona namuangalia Weston McKennie wa Kiingereza.
Aive nini sasa mzee wangu, ebu weka mambo wazi kitu gani TP anafanya ambacho Rice hawezi fanya?
 
Finishing si hizo anafanya babu, au unataka finishing ipi? Walau ungeweka comp inaonesha si finisher mzuri maybe ngekuelewa.
Katika hii video nimeona kascore goli moja au mawili.

Rekodi yake ya msimu huu kabla hajaja Chelsea ana magoli mangapi? Je uliopita?

Kuna dogo anaitwa Jota yupo Scotland better stats kuliko Mudryk.
 
Aive nini sasa mzee wangu, ebu weka mambo wazi kitu gani TP anafanya ambacho Rice hawezi fanya?
Kwa game ya leo ya ya Ukraine na Uingereza kwa frst half Rice ni miongoni mwa wachezaji wenye stats za chini na hapo walimiliki mpira kwa 60+ percentage.

Anachofanya Partey ni hichi
  • Kutokimbia mpira
  • Take ons
  • Vision
  • Flexibility ya juu

Kama Rice angekua anafanya kila anachofanya Partey Bayern wangekua washamfuata, Bayern pia ina shida ya kiungo dizaini ya Partey.

Pengine unaona anachofanya Partey ni cha kawaida ila hapana bro, blud is talented siku akiondoka tukabaki na Lokonga pekee utapata picha zaidi.
 
Katika hii video nimeona kascore goli moja au mawili.

Rekodi yake ya msimu huu kabla hajaja Chelsea ana magoli mangapi? Je uliopita?

Kuna dogo anaitwa Jota yupo Scotland better stats kuliko Mudryk.

Arsenal tuna bahati kutomchukua kama hiki ndio kiwango chake
 
Pale chelsea winger wao hana magoli wala assists kama za Martinelli na bado anawekwa benchi. Angekuja Arsenal ingekuaje?
Mm nafikiri angefanya vzr tu hasa kwenye kutengeneza assist maana mechi nyingi tunazitawala ,

So angekuwa muda wote anacheza mbele

Pia kisaikolojia hayupo sawa toka ile move yake kuja Arsenal ,Chelsea waiingilie
 
Watching the match England vs Ukraine, seems to me Murdryk is hyped, he has been subbed because of poor performance
Mimi kipimo changu cha mchezaji mzuri huwa namuangalia akiwa bila ya mpira (without the ball).

Nimemuangalia Mudryk 1st half, niseme kweli dogo kamkubali sana kiuchezaji ila yuko poor without the ball.. jambo ambalo naamini Mikel angembadilisha akaongeza work rate uwanjani.

Modern football haitaki uwe mzuri kwenye kucheza na mpira tu bali vile vile kucheza na timu kwa pamoja mkiwa hamna mpira kama kusaidia kwenye kukaba na positioning ili kulinda structure ya timu.

So technically, Mudryk namfananisha Rafael Leao ambae na yeye shida yake ni hiyo hiyo, he's poor without the ball.
 
Mm nafikiri angefanya vzr tu hasa kwenye kutengeneza assist maana mechi nyingi tunazitawala ,

So angekuwa muda wote anacheza mbele

Pia kisaikolojia hayupo sawa toka ile move yake kuja Arsenal ,Chelsea waiingilie
Angecheza vizuri hata mimi nina uhakika swali ni angemuweka Martinelli benchi? Kwetu sisi Arsenal Martinelli ni best scorer sasa utamuwekaje nje best scorer?

Trossard ili kupata namba ilibidi Jesus na Nketiah wawe nje.
 
Hapo kweli angebidi apambane Sana

Kwasasa Jesus karudi na morali lakini ameambiwa apambanie namba kuwatoa Martinell na Trossard mmoja wao
 
Mimi kipimo changu cha mchezaji mzuri huwa namuangalia akiwa bila ya mpira (without the ball).

Nimemuangalia Mudryk 1st half, niseme kweli dogo kamkubali sana kiuchezaji ila yuko poor without the ball.. jambo ambalo naamini Mikel angembadilisha akaongeza work rate uwanjani.

Modern football haitaki uwe mzuri kwenye kucheza na mpira tu bali vile vile kucheza na timu kwa pamoja mkiwa hamna mpira kama kusaidia kwenye kukaba na positioning ili kulinda structure ya timu.

So technically, Mudryk namfananisha Rafael Leao ambae na yeye shida yake ni hiyo hiyo, he's poor without the ball.

Let’s wait and see, labda kuna vitu havijakaa sawa. Personally I assess the player on what he does with the ball, sio kukimbiakimbia pasipo mpangilio.
Leo alikuwa hovyo sana, nadhani kama boss wa Chelsea alitazama hii mechi; anajuta kukurupuka
 
Kwa game ya leo ya ya Ukraine na Uingereza kwa frst half Rice ni miongoni mwa wachezaji wenye stats za chini na hapo walimiliki mpira kwa 60+ percentage.

Anachofanya Partey ni hichi
  • Kutokimbia mpira
  • Take ons
  • Vision
  • Flexibility ya juu

Kama Rice angekua anafanya kila anachofanya Partey Bayern wangekua washamfuata, Bayern pia ina shida ya kiungo dizaini ya Partey.

Pengine unaona anachofanya Partey ni cha kawaida ila hapana bro, blud is talented siku akiondoka tukabaki na Lokonga pekee utapata picha zaidi.
Zubimendi kama ana mapenzi na Barca tunaweza kumkosa ila ni direct replacement nzuri ya Partey kuliko Rice ambae atahitaji muda kutoa anachoofa Partey
 
Back
Top Bottom