Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

🚨 Permanent contact between Leeds and Arsenal for Raphinha. The clubs advance in the operation. There is no full agreement yet, but the parties continue to get closer. At the moment the Gunners are on pole. Report @MatteMoretto and @tjuanmarti. https://t.co/6x3fHFfMUT
 
Attachments

  • IMG_20220624_233219.jpg
    IMG_20220624_233219.jpg
    100.8 KB · Views: 14
❗️🥇Arsenal are planning to also bring in Lisandro Martinez and Raphinha. [@ChrisWheatley_]
 
Arsenal are expected to go back in with an improved bid for Raphinha after agreeing a deal in principle to sign Gabriel Jesus from Manchester City, as per @skysports_sheth.
 
Raphinha to Arsenal Update:

▫️ The clubs advance in the operation. There is no full agreement yet, but the parties continue to get closer.

▫️ At the moment the Gunners are on pole.

🤝 @tjuanmarti via @MatteMoretto
 
‘Arsenal are still working on Raphinha. They are trying and pushing to find a solution and I expect them to push and push again next week that could be crucial for this Raphinha deal’ - @FabrizioRomano
 
Next week Ni Raphina na Lisandro Martinez

Siku ya mwisho ya Usajiri anaingia Tieleman
 
Hivi mpango wa Raheem Sterling umefika wapi? Naona kiasi kinachotakiwa kwa Raphinha City walihitaji pungufu kwa ajili ya Sterling. Na mimi nafikiri Sterling ana uzoefu wa nje na ndani kumzidi Raphinha
 
Hapo kuna biashara ila kuna player interest, ni rahisi kumtoa Raphinha Leeds kwenda Arsenal kuliko kumtoa Raheem city kwenda Arsenal

Kila mtu anajua kuwa Arsenal ndo Kwanza inajitafuta, kwahiyo ni ngumu Kwa mchezaji alieprove kama Raheem kwenda hapo ata kama bei yake ni ndogo

Refer Kwa Mane, bei ambayo ameuzwa karibia kila team ingekuwa na uwezo wa kumchukua ila zilipiga kimya tu maana anachokiwaza sicho anachokiwaza mchezaji mdogo

Ata Jesus kukubali kwenda Arsenal ni ule uwepo wa Edu tu pale na ubarsil wake, ila tofauti na hapo ingekuwa ni vigumu kidogo, angeamua zake kwenda ata Chelsea team ambayo imesha prove
 
Hivi mpango wa Raheem Sterling umefika wapi? Naona kiasi kinachotakiwa kwa Raphinha City walihitaji pungufu kwa ajili ya Sterling. Na mimi nafikiri Sterling ana uzoefu wa nje na ndani kumzidi Raphinha
Arteta kipaumbele chake Ni RW, na anamuona Raphina ndio anafaa, anataka mtu wakumpa changamoto Saka, uzuri Raphina anacheza hata LW tofaut Rahim Ni mzuri Zaid LW Sana, ninachoona Rahim tutaishia kumtukana acha aende Chelsea, yule jamaa anakosa magoli Sana ,na happy city wanacreate a lot of chances
 
Next week Ni Raphina na Lisandro Martinez

Siku ya mwisho ya Usajiri anaingia Tieleman
Sioni kama Tielemans atasajiliwa dirisha hili labda January, nafasi anayocheza imekuwa si priority tena, nadhani kama si Xhaka juendelea basi Fabio Vieira/ ESR mmoja atalazimishwa kucheza LCM, kuna nafasi zina uhitaji wa quality kuliko LCM, mfano backup ya Tomiyasu ni Soares ambaye hana quality inayohitajika, Ramsdale Turner/ Leno, wote si distributors wazuri. Backup ya Partey Lokonga ? Elneny?

Budget pia inaonekana finyu ndio maana Arteta anajaribu kutafuta depth kwa kusajili wachezaji versatile kama Lisandro martinez wanaocheza kwenye multiple-position.
 
Hivi mpango wa Raheem Sterling umefika wapi? Naona kiasi kinachotakiwa kwa Raphinha City walihitaji pungufu kwa ajili ya Sterling. Na mimi nafikiri Sterling ana uzoefu wa nje na ndani kumzidi Raphinha
Mkuu, mchezaji kusajiliwa Arsenal inabidi kuwa kiraka kwa ajili ya Depth, timu inalack depth, Raphinha ana sifa zote kukupa quality kwenye LW na RW.
 
Charles Watts:

"He (Raphinha) would not replace Saka. He would more than likely come in and add to the competition at Emirates Stadium with Arteta keen to strengthen his squad to ensure it can cope with the extra demands of European football."
 
Sioni kama Tielemans atasajiliwa dirisha hili labda January, nafasi anayocheza imekuwa si priority tena, nadhani kama si Xhaka juendelea basi Fabio Vieira/ ESR mmoja atalazimishwa kucheza LCM, kuna nafasi zina uhitaji wa quality kuliko LCM, mfano backup ya Tomiyasu ni Soares ambaye hana quality inayohitajika, Ramsdale Turner/ Leno, wote si distributors wazuri. Backup ya Partey Lokonga ? Elneny?

Budget pia inaonekana finyu ndio maana Arteta anajaribu kutafuta depth kwa kusajili wachezaji versatile kama Lisandro martinez wanaocheza kwenye multiple-position.
Swala la Tieleman bado lipo ON, za ndan inasemekana Leicester wanataka £30m ,Arsenal wanapambania Kwanza vipaumbele vyao Kwanza, mwisho Leicester lazima atakuwa na presha hivo ataogopa kumuacha aje aondoke bure ,hivo atamuuza kwa bei ya chini

Kwa Tomiyasu backup yake Arteta alisema ameridhika na Soares ,

Halafu mm naona bajet sio finyu ndio Sababu ya kutafuta versatile players,

Kumbuka Arteta Ni mwanafunz na mfuas wa Pep, hawa wanapenda versatile players pale city karibu 90% Ni versatile players , sio Sababu Ni bajet finyu

Hii Ni mojawapo ya kuwa na depth squad yenye quality,

Arteta huyu huyu ndiye amekuja kuitroduce mfumo wa kuwa na namba 10 wawili ndan , Smith na ode,, hizi Ni ideas za Pep hizi, we

Now anaenda kucheza 4-3-3 yenye

Fabio Partey ode

Mifumo hii au ideas hiz za Arteta kutoka kwa Pep hazitaki Viungo wagumu, zinataka mafundi wakukaa na mpira,

Ndio maana Toreira hawez kucheza chin ya Arteta ,

Mashabik walimtaka Bissouma lkn unaambiwa kwenye Top list ya Arteta waliojuu Ni kina Tieleman ,
 
✅ Thomas Partey is now fully fit and ready for pre-season. Reports, @Charles_Watts.
 
I'm not sure ila nahisi we're not signing Youri Tielemans this window, japo unaweza kuwa sahihi.

Hoja ya Arteta kumuona Soares km backup RB ni political zaidi, vs Man city / Liverpool lazima umkatae. Hana technical consistency, km Tomiyasu akiumia binafsi namuona Saliba #4, White #2.

Kwa kweli lack of technical quality from Soares/ Tavarez/ Holding imetucost Uefa msimu ulioisha.
 
🚨 Arsenal will SOON submit a second bid to Leeds United in order to land Raphinha. Reports, @Freddie_Paxton.

Very very Good source
 
Back
Top Bottom