Rogers luyangi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 552
- 948
Tule kwanza ugali Mkuu wanguHaya bana Acha tuendelee kuugulia na maumivu
Tuongezeni pesa kidogo Mazee sisi Wana Chelsea FC maana si kwa shupavu tulilowapaPia Gorginho sio wa kutegemea hata kidogo, sioni kama ni mzuri uwanjani kama watu wanavyomsifu, pia goli kufungwa kasababisha yeye
Hatimae MalcolM XII ameonekana Gongolamboto akiwa na kifurushi cha wali. View attachment 2555433
Mstue hamis77 arudi kwanzaHawa nzi waliojaa humu kufikia kesho jioni kila mmoja atakimbilia jalala lake
Mkuu Saka ameshaisha, ni aibu hajadumu kwa muda mrefu kwenye kiwango. Wachezaji wa aina hiyo (left hand) chenga zao ni za upande mmoja wakishajuliwa na mabeki ndio basi tena.Kim Kardashian amemuahidi Saka kuwa ataenda Emirates tena kama Saka atabeba Premier league so kwa hasira atakazokuwa nazo Saka subiria Magoli na Ma assist ya kutosha
Bado una matumaini na hako katimu..Hawa nzi waliojaa humu kufikia kesho jioni kila mmoja atakimbilia jalala lake
Huyo jamaa anaipenda Arsenal kuliko wote humu, nadhani tukifungwa hata kula hua hali
Kakimbia kwa muda, nafikiri akikosa EPL msimu huu ataleft jamiiforumsHuyo jamaa anaipenda Arsenal kuliko wote humu, nadhani tukifungwa hata kula hua hali
Umekula ugali lakini?Tunawakumbusha tu "The Arsenal " bado ipo kileleni mwa ligi na kesho tunaenda kuongeza wigo wa points kufikia points 8
Tukutane saa 11 jioni kwa burudani ya soka safi View attachment 2556852
We humu unatafuta niniUmekula ugali lakini?View attachment 2556926
Wacha bwana😂We humu unatafuta niniView attachment 2556941
Ass'anal ndio timu inayoongoza kuuwa mashabiki kwa presha duniani.
Mtihani kwa Arteta huu hapa, kesho unadhani nani aanze? Trossard au Jesus?
Binafsi naenda na Trossard ili Jesus aendelee kugain match fitness akiingia kipindi cha pili sio mbaya View attachment 2556866