Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kumbe hua mnatunza maneno ya hivi kwa muda mrefu sana, huwez amin Arsenal ndio timu inayotafutwa saaana iharibu tu ishambuliwe vya kutosha toka jana mnaongelea hili hili, na leo ndo mwisho wenu tena wa kuongelea hayo, maana ni kawaida hua mkiongea hiv mnakaa nayo mechi 10 mbele ndo mnaongea tena.
 
Mmechukua kombe lini mpk mtafutwe, nyie kusemwa semwa kawaida yenu, kombe kubwa mlilowahi kuchukua ni FA, sasa timu mnayoiita kubwa mafanikio pekee ni FA kweli? Hiyo ni timu ndogo, Nottingham Forest na Aston villa ni wakubwa kuliko Ass'anal, hata Leicester ni kubwa kuliko nyie mana wana EPL wamechukua juzi tu, nyie hamjawahi kuchukua kombe lolote la maana mwaka wa hamsini huu.
 
Bro,hebu kula kwanza ugali
 
Sauti haijatosha, iweke kwa capital letters ili waupate vizuri huu ukweli.
 
Hii yenye Mata amebeba ndio inaitwa UEL Arsenal ni nyinyi nawaambia,najua hamjawai gusa kitu kama hiyo tangu mzaliwe
hii ubebwa mkifika fainal na mshinde,fainal ni nini? fainal ni mechi kati ya timu mbili ambazo zimeshinda quarter, zikashinda semi alaf ndio zikakutana hiyo ndio fainal
 
Sisi tukiingia kimkakati tunachukua hili kombe sema saivi priority ni ligi hio mwakani tutabeba asubuhi nakwambia Moto huu ni miaka 4 so mkae kwa kutulia Wala hatuna haja ya kupaniki saivi tuko top 5 ya timu Kali dunian kwa Mpira
tunaotandaza kwa England only man cty juu yetu kiubora,

Na kibaya zaidi kwa wapinzani wetu hii timu itaenda misimu 5 ikiwa ya Moto nyie mtacheka mwaka huu lakin ndio mwaka wa kuanza habari yetu.

Yaan mim Sina was wasi kabisa arteta anauwezo wa kuunda kikosi cha pili chenye quality hii hapo ndio maji mtaanza kuita mmma Wana Gunners wenzangu tuendelee kuleta mauchambuzi na kupuuza timu ambazo zinajitafuta
 
Kim Kardashian amemuahidi Saka kuwa ataenda Emirates tena kama Saka atabeba Premier league so kwa hasira atakazokuwa nazo Saka subiria Magoli na Ma assist ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…