Sisi kama chelsea Jorginho tulikuwa hatumkali na Ndio mchezaji alikuwa anaongoza kwa criticism za mashabiki pale darajani baada kuwapa ndio mashabiki wenzako wa Arsenal wakawa baadhi wanamsifiaPia Gorginho sio wa kutegemea hata kidogo, sioni kama ni mzuri uwanjani kama watu wanavyomsifu, pia goli kufungwa kasababisha yeye
[emoji23][emoji23][emoji23] allypipi tokea kuzaliwa ushawahi kuona Kima yoyote aliye serious?Arsenal inabidi muwe serious kweli kweli mnajua timu iliyopo nyuma yenu inatisha kiasi gani inapofika hii miezi kazeni kweli kweli.View attachment 2554989
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23] allypipi tokea kuzaliwa ushawahi kuona Kima yoyote aliye serious?
[emoji23][emoji23][emoji23]Sporting leo wajiandae , Emirates huwa hatucheki na kimaView attachment 2554329
[emoji23][emoji23][emoji23]Kikosi hiki hiki kinawatoa hawa Sporting.
Hao akina Partey, Saka, Trossard na Ødegaard labda awaingize wakapashe tu, lakini still hii mechi ni ya akina Jorginho, Fabio na Nelson.
Baadae akiingia KT itapendeza zaidi.
Mnasingizia tu, hata huko mkikaa vibaya kipara atawapakata.Arteta naona anataka tuzingatie epl, yasije ya Liverpool mwaka jana, coz hatuna kikosi kipana
leo naona majini yote yamehamia humu
Labda wachukue kombe la uji, ila nakuhakikishia hao Kenge hata ligi hawachukui.Mashabik wenu wengne wanaona lbd ndo vzr.. Sio vzr hata kdg ukiwa unafukuza na Pep na city kwny ligi tena gape lenyw point 5.
Arsenal msimu huu mkienda bila kikombe asee mtakua ni wazembe sana tena sana, Yan bora kocha na wachezaj wajue wanatkiwa kufia uwanjan kwny ligi wawape washabik wao walau furaha msimu huu.. Hype yote hii mkienda kapa maneno ya wapinzan mtajuta.
Alisikika muuza mishkaki, wapale yombo kwa limboa.Mshika mbili moja umponyoka, let’s concentrate with one
Kwanza yuko slow hatari, hana maamuzi ya haraka, mm nimeshamuangalia game nyingi hana ukabajiSisi kama chelsea Jorginho tulikuwa hatumkali na Ndio mchezaji alikuwa anaongoza kwa criticism za mashabiki pale darajani baada kuwapa ndio mashabiki wenzako wa Arsenal wakawa baadhi wanamsifia