Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Waambie ukweli hao vijana
 
Vieira physical yake bado

Jorg jana alikua anajificha hataki kupokea mipira kabisa

Arteta inabidi ajipange sana kwa ajili ya knockout games kama hizi misimu mitatu hii tunatolewa hapohapo Emirates
Tuliwaambiaga kwamba jorgi akikutana na team inayompress mechi nyingi zinakuwaga zinamshinda hamkusikia
 
Kwamba arteta alikuwa na imani na ramsdale kwenye penati ama, turner mechi za kirafiki alicheza penati nyingi tu.
Hata sisi wa huku mbondole hatuna imani na ramsdale kwenye matuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…