Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwanza Arteta kakosea mwanzo kumuanzisha Ramsday, ilikua haina umuhimu kumuanzisha, yule kipa mmarekani asingetoka golini kufungwa goli lile la kipuuzi
 
Arteta ni mbaguzi, anatengeneza mazingira ya kumfukuza Tierney wakati ni mchezaji mzuri, Aron hakustahili kuanza kabisa goli kafungisha yeye kaharibu kila kitu
 
Pia Gorginho sio wa kutegemea hata kidogo, sioni kama ni mzuri uwanjani kama watu wanavyomsifu, pia goli kufungwa kasababisha yeye
 
Hili swali huwa najiuliza sana, Arsenyani kucheza mpira mzuri kumewasaidia nini?

Sisi tunaosemwa tunacheza mpira wa ujanja-ujanja tumefika robo fainali za makombe yote na tayari tumebeba Carabao Cup.
 
Nikajua ni old Trafford tu uwanja unavuja kumbe hata Emirates hakuna kitu ,mvua inanyesha maji yanamwagika mpaka kwenye seats watu wananyanyuka wasilowane,wanaacha kuaangalia mpira wanaanza kupambana na mvua isiwalowanishe ,utafikili wako ccm kilumba
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…