Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Zinaweza zikatumyima furaha ya msimu mzima
Hizo game tunashinda comfortably kama game ya leo maana timu kuelekea mwishoni mwa msimu zinafunguka na hapo ndo watapoumia pona yao ni kucheza either 5-4-1/4-5-1

Sasa nataka chelshit waje na 3-4-3 yao EMIRATES waone aibu watayoipata
 
Tunaanza upya ndugu zangu

11 to go [emoji1491]
20230312_224756.jpg
 
Hizo game tunashinda comfortably kama game ya leo maana timu kuelekea mwishoni mwa msimu zinafunguka na hapo ndo watapoumia pona yao ni kucheza either 5-4-1/4-5-1

Sasa nataka chelshit waje na 3-4-3 yao EMIRATES waone aibu watayoipata
Chelshit pale kwao tuliwapigia mpira mkubwa na pass za haraka haraka Hadi huruma

Bado chelkenge hawana uwezo wakustahimili pale Emirates

Hawa chelkenge huwa ni vibonde wetu sikumbuki lini wametufunga
 
Chelshit pale kwao tuliwapigia mpira mkubwa na pass za haraka haraka Hadi huruma

Bado chelkenge hawana uwezo wakustahimili pale Emirates

Hawa chelkenge huwa ni vibonde wetu sikumbuki lini wametufunga
nyie n mbarara wadogo sana na nakuja kukupigia apo apo geto kwako na mm ndo ntakunyima kombe asenane
 
nyie n mbarara wadogo sana na nakuja kukupigia apo apo geto kwako na mm ndo ntakunyima kombe asenane
Sikumbuki lini ulitufunga

Tumekuwa tunakupiga nje ndani

Emirates unakuja kutoa Guard of honor
 
Tumekuacha points 30+ kujadiliana na wewe ni matumizi mabaya ya MB

bado huna timu ya kwenda Toe to Toe

Tumekuwa tunazibinya timu kukaa nyuma wiki kila wiki

So Jenga timu Kwanza ,
mimi ndo ntakunyima kombe nakwambia ww una tim ya kunifunga nikiwa fit utazan utamkuta malang sarr
 
BUILDUP MONSTERS

[emoji3578] Umeiona Ile Pasi ya William SALIBA kwa Granit Xhaka kwenye bao la pili la Arsenal? Tena kwa kutumia mguu wa kushoto? World class

[emoji3578]Ile ndo Sababu Arsenal ni team bora EPL kwenye kujenga shambulizi Kuanzia nyuma.Ili ujenge shambulizi vizuri kuanzia nyuma unahitaji (A) Uwe Wana wachezaji ambao wapo vizuri mpira ukiwa mguuni kwao.Arsenal Ina Saliba, Gabriel,Ben White, Zinchenko, Ramsdale.

[emoji3578]Lakini pia Lazima kuwepo na Muundo mzuri wenye virutubisho vyote kuwezesha ujenzi Bora wa hilo shambulizi.Arsenal mara nyingi wanajenga mashambulizi Muundo ukiwa 3+2.Gabriel , SALIBA na White+Thomas Partey na Zinchenko

[emoji3578]Hata hivyo wakati Mwingine Inategemea na team pinzani inapeleka wachezaji wangapi kufanya Pressing? Kwa mfano kwenye hili bao, Fulham walifanya Man to Man Pressing kwa Sekunde 30.Maana yake walipeleka wachezaji 6 , Mitrovic akiweka Pressure kwa Ramsdale.

[emoji3578]Lakini bado Arsenal walifanikiwa kutoka, unajua Kwanini? Position ya Granit Xhaka ule upande wa kushoto ikawa sehemu maalumu ya Arsenal kutoka kwenye Presha ya FULHAM (Out ball)

[emoji3578]Hata dhidi ya team bora zenye Muundo mzuri kwenye kuweka presha ndani ya EPL kama Manchester City Bado Arsenal wana uwezo wa kujenga shambulizi kuanzia nyuma Bila wasi wasi na kufanikiwa

[emoji3578]Nini umuhimu wa kujenga shambulizi kuanzia nyuma? (A) Kuufungua kwa urahisi Muundo wa kuzuia wa team pinzani.Kwanini? Kwasababu sio rahisi sana kwenye team kwenda kufanya Pressing Halafu bado Muundo wao kwenye kuzuia ukabaki umeungana.Lazima Kuna mashimo mengi mnaayacha nyuma.(B)Kuipa team Muundo mzuri wa kushambulia kwa utulivu na pasi za uhakika

FT [emoji790] English premier league FULHAM 0-3 ARSENAL

Note; Umeshawahi kusikia neno HAT TRICK OF ASSIST? Muulize Leandro Trossard,nitamleta Baadae View attachment 2547896View attachment 2547897
😄😄😄
Eti 'umeshawahi kusikia hat trick of assists? Muulize Leandro Trossard 😆😆
Mwaka huu Gunners tuna mbwembwe Hadi raha
 
Kama kurudisha magoli dhidi ya bournemouth ni rahisi waylize liver, kama kushinda mechi baada ya kisago cha kupigwa wiki ni rahisi waulize manu...
Alafu unakuta mtu wa chelsea haoni hata aibu kubishana na mtu wa arsenal.....
One game at a time, mechi 11 zimebaki.... tano away sita nyumbani...
 
Unaongea upuuz ,Tumechukua FA cup ,Arteta anamfunga huyo Pep 2-0 Wembley ,tatizo mmeanza kuangalia mpira juz

Wewe mshabiki wa Chelkenge nafasi ya 10 humu unatafuta nn
Bit by bit ,

Tunaanza kucheza na City, kwa mtu wa mpira anaelewa. Mechi inayokuja City wanajua kazi iliyopo mbele yao na hawatoki! Timu inayokutana na Arsenal kwa sasa wanapanga wasifungwe na LFC tusitegemee atafunguka kama alivyocheza na Utd.

Mtu asifikri kuifunga Fulham ni rahisi. Wakati tunashangilia ushindi wa Afc Bournemouth walijua ni timu ndogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom