Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,031
- 40,065
Mr Assist
Match Ya jana Fulham vs Arsenal Ndio ilitupa tafsiri kwanini team nyingi zikicheza na sisi zinapaki Bus
karibu dakika 8 za mwanzo Fulham walijitahidi kutupress na kushambulia kufunguka ili ndio kosa lao kubwa
Arsenal anacheza kwa Pattern ( Muundo ) ambao unajirudia kila siku kuanzia mikimbio wa wachezaji hadi nafasi ( Positioning) ukitaka kumpress Arsenal hakikisha huachi gape lolote
Arsenal ana press Resistance players Zinchenko , Partey , ambao uchezaji wao unaanza chini kabisa
Fulham ndipo wakaja kuadhibiwa sababu walifunguka Kutoa Gapes ambazo wachezaji Arsenal hawakutumia Nguvu nyingi Kufunga magoal kumbe ukitaka cheza toe to toe na Arsenal hii jipange
Wachezaji wanakimbia nafasi zile zile muda ule ule hii sio ilimradi ni kazi kocha kwahyo ambae anasema ni haoni kazi kocha anakosea mno
Leoandro Trossad anatoka na assits 3 anaingia Jesus

Namba 19 ya mtakatifu Cazorla inatendewa haki. Hata Gilberto Silva atafurahiMr Assist
View attachment 2548687
Kaka ulipotea sanaSijaona wa kutuzuia hilo kombe la kwetu
COYG ARSENAL![]()
Arsene Wenger "Football should be an Art "
Match Ya jana Fulham vs Arsenal Ndio ilitupa tafsiri kwanini team nyingi zikicheza na sisi zinapaki Bus
karibu dakika 8 za mwanzo Fulham walijitahidi kutupress na kushambulia kufunguka ili ndio kosa lao kubwa
Arsenal anacheza kwa Pattern ( Muundo ) ambao unajirudia kila siku kuanzia mikimbio wa wachezaji hadi nafasi ( Positioning) ukitaka kumpress Arsenal hakikisha huachi gape lolote
Arsenal ana press Resistance players Zinchenko , Partey , ambao uchezaji wao unaanza chini kabisa
Fulham ndipo wakaja kuadhibiwa sababu walifunguka Kutoa Gapes ambazo wachezaji Arsenal hawakutumia Nguvu nyingi Kufunga magoal kumbe ukitaka cheza toe to toe na Arsenal hii jipange
Wachezaji wanakimbia nafasi zile zile muda ule ule hii sio ilimradi ni kazi kocha kwahyo ambae anasema ni haoni kazi kocha anakosea mno
Leoandro Trossad anatoka na assits 3 anaingia Jesus
Amigo adios hermanosView attachment 2548847
wa Goal.com
)Hata mimi nilitaka kusema, jamaa kama ana ofisi pale Imarati. Ila analipenda chama kinyama zaidi.Hahaha ninaipenda arsenal lakini wewe umenizidi, I guess Arsenal comes into your dreams very often.
Habari ya muda hii si amecheza juzi? Au ameumia tenaTrossard ana Groin injury not expected to be back before international break.
Kuna mdau wa manjesta alikuwa anasema city msimu huu kashuka , nilimshangaa SanaKwa ambao wanasema City hayupo vizuri msimu huu sio kweli unaweza kuona mkusanyo wa points kwa misimu mitano nyuma
Sisi tumetumia kanuni ya alie juu mfate juu usingoje ashuke chiniView attachment 2550174
Kuna mdau wa manjesta alikuwa anasema city msimu huu kashuka , nilimshangaa Sana
Hapo inaonesha Range yake ni hiyo hiyo , kushuka ingekuwa Kama kilichomtokea Liverpool au apotee kwa point 10Kwa hizo data kashuka yes
Mwaka huu mechi 27 points 61
Mwaka jana mechi 27 points 66
Kashuka points 5
Mwaka juzi mechi 27 points 62
Kashuka point 1
Hapo inaonesha Range yake ni hiyo hiyo , kushuka ingekuwa Kama kilichomtokea Liverpool au apotee kwa point 10
Lakin standards zake unaona ni average ya points 55 kila msimu
Kweli ya muda nimeconfirm saa hiziHabari ya muda hii si amecheza juzi? Au ameumia tena
Kuna hoja kwamba arsenal yupo juu sababu ya ubovu wa Chelsea man u na Liverpool, swali nililouliza kipindi hizo timu sio mbovu walifikia idadi ya points ambazo zimekusanywa na arsenal msimu huu kwa mechi 27?Kwa hizo data kashuka yes
Mwaka huu mechi 27 points 61
Mwaka jana mechi 27 points 66
Kashuka points 5
Mwaka juzi mechi 27 points 62
Kashuka point 1
Kilichotokea ni Arsenal ime-raise standards kwa msimu huu bila kujali matokeo ya timu nyingineHapo inaonesha Range yake ni hiyo hiyo , kushuka ingekuwa Kama kilichomtokea Liverpool au apotee kwa point 10
Lakin standards zake unaona ni average ya points 55 kila msimu