usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,978
- 14,100
Cjui kwann tukiwa home mara nyingi tunajua kama hatujiamin yaaanKwa Arsenal hii tukicheza away nakuwa sina hofu kabisa tofauti tukiwa home kuna pressure sana ya ushindi
Cjui kwann tukiwa home mara nyingi tunajua kama hatujiamin yaaanKwa Arsenal hii tukicheza away nakuwa sina hofu kabisa tofauti tukiwa home kuna pressure sana ya ushindi
Vipi matokeo huko?!?Mid anakaa nani? Hii Fulham siyo weak kiasi hicho. They are more physical and pacey Vieira physically atakua bullied na hawa watu
Reason kubwa ni tupo home so expectation inakuwa kubwa sana ya ushindi no matter what but away tunarelax na tunatandika football ya kutoshaCjui kwann tukiwa home mara nyingi tunajua kama hatujiamin yaaan
Unajua kikosi kinachocheza au upo bar?Vipi matokeo huko?!?
Tuna kazi ya kuongeza goal difference aisee. Sasa tumeshindwa magoli kama 5-6 na City. Ingekuwa tumepinguza mpaka 3 au hata 2 ingekuwa poa sana Ili mbeleni tusiwe na wasiwasi wa kumaliza Kwa points sawa na CityCould be six at half time
Pressure ya mashabiki, mashabiki safari hii Wana mzuka sana na Team yao hadi wachezaji wanakuwa wanacheza kwa hofu pindi wanapokuwa EmiratesCjui kwann tukiwa home mara nyingi tunajua kama hatujiamin yaaan
Exactly na hii ndo sababu tunakua kama hatujiamin alaf ukizingatia mafans wanakua na shangwe na vibe exercisePressure ya mashabiki, mashabiki safari hii Wana mzuka sana na Team yao hadi wachezaji wanakuwa wanacheza kwa hofu pindi wanapokuwa Emirates
kwa kuhofia kuwaangusha Washabiki ambao wanashangwe mwanzo mwisho bila kujali matokeo lakini pia kama hiyo haitoshi wanakuwa na hofu na kuwaumiza moyo mashabiki wanaolipa viingilio vikubwa kuliko Team zote EPL
Kweli kabisa,Madrid wakimwangalia Odegaard roho inawauma kumuuza