Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mtoe Chelsea hapo anakuja Emirates machinjion

Binafs mech ngumu ilikuwa ya leo na ya Liverpool

City alitufunga ila Kama ukiichunguza vzr ile mech tulizingua wenyewe

Pamoja na Kumkosa Partey ,nketiah kukosa magoli ,mechi tuliidominate Sana

Sijui kwanini mancity Sina hofu nao kabisa tofaut na Liverpool
mara ya mwisho kumfunga city gardiola alikua kocha wa barca ata droo ujawai toa ww na uchambuz mchwara[emoji16][emoji16]
 
Mtoe Chelsea hapo anakuja Emirates machinjion

Binafs mech ngumu ilikuwa ya leo na ya Liverpool

City alitufunga ila Kama ukiichunguza vzr ile mech tulizingua wenyewe

Pamoja na Kumkosa Partey ,nketiah kukosa magoli ,mechi tuliidominate Sana

Sijui kwanini mancity Sina hofu nao kabisa tofaut na Liverpool
Hawa city ujue tunawamudu kabisa?

Partey awe fit na Jesus awepo ndani tunawaua palepale Etihad
 
Unaambiwa ile mech Partey ndio aliandaliwa , bahati mbaya akakurupushwa Gorginho ,Cha ajabu city alishindwa kabisa ku dominate Kama anavyowafanyia wengine

Kwa mara ya Kwanza namuona city anatumia long balls haanzii nyuma maana press ya Arsenal ilikuwa hatari Sana

Game ikawa tumeikamata ,makosa binafsi yakatuua ,had tupo nyuma 2-1

Xhaka , nketiah wanakosa nafasi za wazi kusawazisha

So kwasasa namuhofia Liverpool maana huwa ana turn muda wowote
 
Man of the match

He ain't costs us any £100M
20230312_195622.jpg
 
Mtoe Chelsea hapo anakuja Emirates machinjion

Binafs mech ngumu ilikuwa ya leo na ya Liverpool

City alitufunga ila Kama ukiichunguza vzr ile mech tulizingua wenyewe

Pamoja na Kumkosa Partey ,nketiah kukosa magoli ,mechi tuliidominate Sana

Sijui kwanini mancity Sina hofu nao kabisa tofaut na Liverpool
Mpe heshima yake pep wewe
 
Mpe heshima yake pep wewe
Kwani nimemtolea heshima yake ? Mimi naongea uhalisia hata yeye anakubali alipotezwa hasa first half

Mechi inaisha alishinda but anatoka na possession ya 36% sikumbuki mwaka gan aliwahi kutoka na possession ndogo hivo ,sikumbuki lini Pep anabadili kutoanzia mpira nyuma Bali anabutua ,

Tunachambua mpira kwa uhalisia nyie mnaleta ushabiki

Ndio nyie mlikuwa mnatupigia kelele Conte ni title contender kwa ule mpira wa ovyo
 
Mpira tunaocheza arsenal ni falsafa ambayo arteta amemega madini kutoka kwa pep, akitaka kumaliza game anaswitch kidogo tu ki mbinu ndio maana tunakufa!
Yaan kumfunga pep inabidi tuwe Accurate kwenye chance 3 basi tutumie walau 2.
La sivyo wenyewe wana watu wa kuchafua ubao muda wowote
 
Kwani nimemtolea heshima yake ? Mimi naongea uhalisia hata yeye anakubali alipotezwa hasa first half

Mechi inaisha alishinda but anatoka na possession ya 36% sikumbuki mwaka gan aliwahi kutoka na possession ndogo hivo ,sikumbuki lini Pep anabadili kutoanzia mpira nyuma Bali anabutua ,

Tunachambua mpira kwa uhalisia nyie mnaleta ushabiki

Ndio nyie mlikuwa mnatupigia kelele Conte ni title contender kwa ule mpira wa ovyo
Imagine tunacheza knockout stage FT unaanza sifia possesion wakati ukisoma ubao tumekufa sisi!
Kumfunga pep kwa aina ya mpira wao na sisi tunaocheza ni zaidi ya kumiliki mpira, yaan inabidi uwe katili kwenye kutumia nafasi.
 
Mbona nimezungumza haya Mambo labda Kama unatafuta ubishani

Nimeongelea nafas walizokosa Nketiha ,Xhaka ,n.k

Thus why nimesema mechi ya 2 naimani nayo Coz ,tutakuwa na kina Trossard ,Jesus pale mbele ,mbona simple tu kuelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom