Ndio mdogo mdogo anarudi kwenye ubora lilikuwa ni suala la muda tu na Jana alicheza namba 10Jana sijaangalia game yeyote. Na sijafuatilia chochote zaidi ya kujua liva kashonwa
Ndio mdogo mdogo anarudi kwenye ubora lilikuwa ni suala la muda tu na Jana alicheza namba 10Jana sijaangalia game yeyote. Na sijafuatilia chochote zaidi ya kujua liva kashonwa
Kuna watu wanakwambia Tuna kikos finyu
Arsenal Bench today: Matt Turner, Tierney, Nelson, Vieira, Jorginho, Jesus, Smith Rowe, Tomiyasu & Holding
With Eddie & Kiwior still to come[emoji2969]
Siyo leoNdio mdogo mdogo anarudi kwenye ubora lilikuwa ni suala la muda tu na Jana alicheza namba 10
Agent wenu?Tuna Agent wetu Willian huko mtakiona Cha mtema kuni Tena ana hasira na nyinyi ile mbaya
Ndio alitufunga lakini hatukuwa kwenye position yoyote either ya big four au ubingwa ila nyinyi mpo kwenye position ya kuchukua ubingwa so lazima atataka kuwaharibia shughuliAgent wenu?
Hivi unajua Fulham waliwafunga na Willian aliwapiga kimoja? 😂😂
Subiri tuone kama ataingiaNdio alitufunga lakini hatukuwa kwenye position yoyote either ya big four au ubingwa ila nyinyi mpo kwenye position ya kuchukua ubingwa so lazima atataka kuwaharibia shughuli
As a team tumesharudi kwenye ubora wetu now unaona idea ya namna tunavyokaba, kumshambulia tofauti na Mwanzo, system ya team inapokuwa imara hata wachezaji nao wanaimarikaSiyo leo
Mlikua mkifungwa hamfungwi nyingi. Hamkua na shida kubwa kiulinzi tatizo lilikua kuscoreAs a team tumesharudi kwenye ubora wetu now unaona idea ya namna tunavyokaba, kumshambulia tofauti na Mwanzo, system ya team inapokuwa imara hata wachezaji nao wanaimarika