Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ukinuna uwe na sababu basi [emoji23][emoji23][emoji23]
20230312_175730.jpg
 
Nimefurahi pia kwamba msimu ulipoanza wengi tulikuwa tunawaza kutoboa top 4. Sasa top 4 inaonekana kama inawezekana au imeshawezekana na tunawaza kupambania title. Very positive.
Jinsi ligi inavyoeenda ni vizuri kutengeneza goli difference kubwa, winner could be decided by goal differences, you never know.
 
Katika mechi 11 tulizobakiza kuna Chelsea, Liverpool na Man city..

Kiukweli tunatakiwa kukaza kweli kweli..
Mtoe Chelsea hapo anakuja Emirates machinjion

Binafs mech ngumu ilikuwa ya leo na ya Liverpool

City alitufunga ila Kama ukiichunguza vzr ile mech tulizingua wenyewe

Pamoja na Kumkosa Partey ,nketiah kukosa magoli ,mechi tuliidominate Sana

Sijui kwanini mancity Sina hofu nao kabisa tofaut na Liverpool
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom