OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Nyie matakataka hamuyiogopi Chelsea?!😀😀
Mimi mwenyewe nashangaaYaani Vieira anamuamini Lokonga

dogo lazy sana yuleWe kweli Afande wa Zenji. Unatukuta wanaume unataja timu ya watu wamejaza matako tu?Unakatwa na arteta, kwani wewe huyiogopi Chelsea?!?
Wasilazimishwe kuwahi. Fulham ni kueadhibiti wasipate chances then piga msako na shoot often. Hapo Nelson, Saka na Martinelli wanatosha. Kama hawatumii nguvu sana then Vieira anatosha kama assister mkuuKuna tetesi Trossard na Jesus watakuepo kwenye kikosi leo
Mid anakaa nani? Hii Fulham siyo weak kiasi hicho. They are more physical and pacey Vieira physically atakua bullied na hawa watuWasilazimishwe kuwahi. Fulham ni kueadhibiti wasipate chances then piga msako na shoot often. Hapo Nelson, Saka na Martinelli wanatosha. Kama hawatumii nguvu sana then Vieira anatosha kama assister mkuu
Sioni namna ingine zaidi ya mid ya Vieira, Xhaka na Partey. Zinny asaidie kama kawaida yake.Mid anakaa nani? Hii Fulham siyo weak kiasi hicho. They are more physical and pacey Vieira physically atakua bullied na hawa watu
Ødegaard ataanza leo Vieira bado aingie gymSioni namna ingine zaidi ya mid ya Vieira, Xhaka na Partey. Zinny asaidie kama kawaida yake.
Odegaard si alikuwa anaumwa? Keshapona?Ødegaard ataanza leo Vieira bado aingie gym
Alikuepo kwenye mazoezi janaOdegaard si alikuwa anaumwa? Keshapona?
Kichekesho ni kwamba dogo kabla hajaenda Napoli alikua na rekodi mediocre mno.Yule bwana mdogo winger wa Napoli anajua, navyomuona Kvara hana tofauti na Mudryk talent-wise.
Mudryk naona ana kila kitu isipokuwa kocha mzuriKichekesho ni kwamba dogo kabla hajaenda Napoli alikua na rekodi mediocre mno.
Ila alivyofika Napoli yupo on fire mno. Kwa maoni yangu Mudryk haiingii kwa Kvitcha in terms of chance creation, ability ya one two na kua constant threat muda wote