Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,634
- 11,116
Watu tunashindana na Barcelona yenye World-class players uje ufananishe na Arsenal. 😂Game plan ya bornamouth ndio hiyo hiyo tunaitumia tukikutana na manjesta
Bado hamna timu ya kubishana toe to toe na Arsenal
Hiki kitu hamtaki kuelewa ndio maana mmepigwa 7-0
Kuna levels kwenye football, nyie mnaweza kutufunga kwenye ligi lakini haimaniishi mpo vizuri kwenye big stage, Europe.