Na Arsenal hatujawa serious nalo hata selection ya kikosi toka mwanzo haikua ile inayoanza kwenye EPL tofauti na timu zengne Arteta alifanya evaluation akaona kuchukua EPL mbele ya City,liverpool,chelsea,Man u lazma uwe umejipanga na una timu bora ila kuchukua europa au uefa ambazo mechi hazizidi 13 haitegemei sana kuwa na kikosi bora bali inaweza ikawa mbinu ya mda mfupi angalia chelsea wanaenda kutwaa taji la kwanza la uefa chini ya Di Matteo ambae alikua kama kocha wa mpito tuu baada ya chelsea kuwa na msimu mbovu.Makombe ni tofauti na ligi maana ligi utacheza na wanaume wenzako wote hamna shortcut wengine wananjia nyepesi hasi kufika final ila wwngne wanaweza kuwa na njia ngumu kufika final