Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal kumbe ndo inavyouma hivi mbona mkusema mapema tuandae roho za simba.[emoji22]
20230305_210124.jpg
 
Huyu ETH ana mdomo Sana ,tulienda OT pale Kiungo Lokonga , akatufunga kwa kaunta tu ,na sio kwamba alifanya total dominance

Ila aliongea shombo Sana
IMG_20230305_224422.jpg
 
Jifunze na sheria za mpira ili usiwe shabiki 'maandazi', kwenye dakika za nyongeza sheria inasema dakika zinazoonekana kwenye ubao wa fourth official ni minimum minutes to be played.

Mfano zikiongezwa 6mins maana yake ukomo ni 6:59 ila refa anaweza kumaliza anytime after 6th minute pia especially km hakuna potential/advantage yoyote kwny mechi inayoweza patikana kama vile kunapokuwa na margin kubwa kwny scoresheet eg. 3-0, 2-0 nk.
Ni ujinga au ni kitu gani hiki..Yaani zikiongezwa dakika 6 maana yake ni 6:59???? Mmesoma wapi nyie watoto wa asenane?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom