hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,662
- 27,521
Game plan ya bornamouth ndio hiyo hiyo tunaitumia tukikutana na manjestaYani nyie "kichwa cha mwendawazimu" ndiyo mnataka mkutane na United?
Kwanza mna uhakika hatua hii mtavuka!? HAHAHAHAHAHAHAHAHAHA!!! [emoji23]
#MrenoMweusi
Bado hamna timu ya kubishana toe to toe na Arsenal
Hiki kitu hamtaki kuelewa ndio maana mmepigwa 7-0