Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilichogundua Europa ni moja ya kombe gumu sana kwa squad tuliyonayo ukitoa 1st 11 utaona huwa tuna struggle sana kupata results kama jana na Arteta kazi anayo squad ya kucheza EPL ndiyo hyo hyo inatakiwa icheze Europa league hakuna namna kwa sasa itafahamika May but tukikosa any trophy kati ya hizi mbili itauma sana sana
Jana alifanya Changes 6 , kwa timu ambayo imecheza mechi 8 bila kufungwa ,

Pia Jana tuliwakosa CF wetu wote Trossard, Jesus na nketiah

Nionacho tuendelee kufanya rotation kuanzia robo tuanze weka mziki wote

Mfano next week tuna advantage wanakuja home pia mechi ya EPL tutakuwa home
 
Eti kichapo Cha Goli 7 Cha manjesta

Arsenal tunahusishwa kwa mujibu wa The Athletic

Ukisoma utacheka, walikuwa bize kufatilia mech ya Arsenal vs bornamouth ,Arsenal alipopigwa 2-0 wakaanza kutumiana sms watakuwa mabingwa

Come back ya Arsenal et iliwaharibu kisaikolojia wakalambwa 7-0

IMG_20230310_185556.jpg
View attachment 2544730
 
Game ya jana sikucheki, Nelson alicheza vizuri?
Timu nzima inacheza vzr ,tatizo hatutumii nafasi , Martinell 2 clear chances kakosa ,

Mapengo ya kuwakosa Jesus ,Nketiah na Trossard kwa pamoja yanaonekana ,

Mechi na bornamauth tulipiga karibu Kona 15 sijui hatukutumia hata Moja ,

Chance after chance tunatengeneza hatuzitumii

Baada ya mechi na fulham tutaanza kumuona Jesus pale mbele
 
Jana alifanya Changes 6 , kwa timu ambayo imecheza mechi 8 bila kufungwa ,

Pia Jana tuliwakosa CF wetu wote Trossard, Jesus na nketiah

Nionacho tuendelee kufanya rotation kuanzia robo tuanze weka mziki wote

Mfano next week tuna advantage wanakuja home pia mechi ya EPL tutakuwa home
FACT hamis77 unajua football kuanzia robo lazima tuchezeshe full squad kwenye EPL na Europa league, I am sure kuna trophy kati ya hayo tutalibeba
 
Kwasasa sion ulazima wakufunga full mziki ,timu za Europa bado low average , hiyo mech ya Jana pale unaambiwa tumecheza chini ya kiwango , na tulifanya changes 6 za first eleven na tukiwakosa CF wetu watatu

Ili tubalance na EPL vzr , kuanzia robo pale ndio tunahamishia full squad na huku Europa

Kipind hicho tutakuwa na machaguo Kama yote .

Tuna mechi ngumu na fulham away , tuchange karata vzr kubalance makombe yote mawili

Mechi za Europa zinachosha uchovu ,mnasafiri mnapumzika siku 2 ya 3 mechi

Naiman kubwa mechi za robo na nusu tutakuwa tayari tuna kina Jesus , Trossard ,Partey ,Gorginho , n.k
 
Tukose vyote lakini sio EPL, kwangu hata tukitoka Europa ni sawa tu. Tukichukua Europa tukakosa EPL bado nitakuwa na huzunii tu.
G. Jesus arudiii tu maana April tuna fixtures ngumu sana
 
Ndio akili za arteta hizi, "eti kuanzia robo fainali ndio tuweke full mziki" Kwa mpira ule wa juzi hiyo robo utafika?

HAYA, REKODI YA MUUAJI RASHFORD HIYO, TUWEKEE YA MARTINELI NA SAKA.
Screenshot_20230310_210755_Instagram.jpg
 
Tukose vyote lakini sio EPL, kwangu hata tukitoka Europa ni sawa tu. Tukichukua Europa tukakosa EPL bado nitakuwa na huzunii tu.
G. Jesus arudiii tu maana April tuna fixtures ngumu sana
Mimi naona tubebe Europa league sababu hatujawahi beba champions league wala Europa league ambazo ni among the biggest trophies duniani ,EPL tumeshabeba hata kama ni long time ago but ni mtihani mzito sababu EPL na Europa league trophies zote ni muhimu sana so kuna fans watasema bora tubebe yote others watasema kama mimi na wewe tunavyoona trophy ipi ni muhimu zaidi ya mwenzake

Cabinet yetu ya trophies EPL lipo but ina lack european trophies
 
EPL ndio kombe muhimu sana maana hna kubahatisha kuzuia hadi kuingia final kwa mbinu mbinu na kuwa bingwa EPL wanachukua wanaume kwelikweli mechi 38 hadi unachukua ubingwa maana una timu bora kwelikweli
 
Nakubaliana na wewe kwenye hilo ila kumbuka Arsenal inakosa vikombe vya ulaya na season hii team ipo vizuri ni wakati wa kuongeza Europa league trophy ni kama Manchester City inavyomuumiza kichwa Guardiola kwa sasa
 
Ukiwa na kikosi cha kushinda ligi uwezi kukosa kushinda Kombe la Ulaya maana ligi hamna kubahatisha trust the process tuna kikombe cha washindi ambacho equivalent na europa ya sasa
 
Tukibeba vyote itakuwa ni jambo la heri sana let's wait and see bro May itakuwaje ila Europa ya sasa ni tofauti na kombe la washindi ambalo halina impact kwa sasa
 
Europa bado kombe dogo halina hadhi ya timu kama Arsenal sema ni kichaka tu kwakua tunashiriki malengo kwa timu kama Arsenal ni UEFA CL na kishinda ligi ndomana kocha huwa anapewa malengo yakua top 4 ili ashiriki UEFA sio top 6 ili ashiriki Europa kwa mid table timu kama sevila na zenginezo
 
Sasa kama ni kombe dogo why tunapambania kushiriki?kubali hadhi yetu ipo kwenye Europa league kwa sasa na next season hadhi yetu itakuwa ni kwenye champions league but for now on hadhi yetu ipo hapa na lazima tupambane tupate results
 
Back
Top Bottom