hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,665
- 27,524
BADO ARSENAL TUNA TATIZO LA UFANISI KATIKA KUTUMIA NAFASI
HATUNA TATIZO LA KUZIFUNGUA TIMU ZINAZOKAA NYUMA
ARTETA anasema
"Lazima tujitafakari, tuwe na ufanisi zaidi. Kwa uchezaji ambao tunatawala mechi, hatujazalisha magoli ya kutosha na hiyo ni chini yetu. "Msimu huu tumekabiliwa na low block kwa timu 16 na tumeshinda mechi nyingi kati ya hizo. Lakini ni kuhusu ufanisi wa magoli Wanapozuia kila kitu na mpira hauingii wavuni, ni nzuri (kwao).