lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,363
- 25,458
Magoli mawili jana yalivunja rikodi ya EPL
Goli la Philip lavunja rikodi ya kuwa goli la haraka (sekunde 11) kwenye epl msimu huu
Goli la Reiss lavunja rikodi ya kuwa goli lililofungwa kwenye dakika za mwishoni kabisa (dk ya 7 kati ya 6 zilizoongezwa) wa nyongeza msimu huu
Hongereni The Gunners, natamani hiyo fighting spirit ndani ya Daraja

Oleksandr Zinchenko made 59 successful final third passes in Arsenal's 3-2 win over Bournemouth on Saturday, a record in a Premier League match this season.