Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,896
- 1,698
moderator ni nani asisikie kilio chako sasaLeo Bournemouth tuna jambo letu, hawa kima wakishinda naomba moderator anipige ban japo wiki.
moderator ni nani asisikie kilio chako sasaLeo Bournemouth tuna jambo letu, hawa kima wakishinda naomba moderator anipige ban japo wiki.
Nahisi hatocheza Kwa muda. Groin injury huwa inasumbua. ESR ilibidi afanye surgery. Na ni tatizo alilokuwa nalo hata BrightonTrossard injury update?
Tunasema daily humu tunaonekana tuna chukiTulishasema mwanzo kama timu haiwezi ku control mchezo, timu ina concede chance after chance, unawezaje kuwaza kuwa bingwa wa Ligi? Ni ukichaa au? Kama Leicester City walishindwa kutumia nafasi haimaanishi na Liverpool watashindwa.
Most touches in the opposition box by a team in a single Premier League game this season:
Arsenal vs Bournemouth - 78
Arsenal vs Man Utd - 64
Man City vs Brentford - 62
Arsenal vs Nottingham Forest - 59
Man City vs Southampton - 56
️
#AFCNyie hamkomi tu watoto wa 7hagArsenya....... au basi. 🙊
Liverkuku wanachukulia vitu personal sanaa😁Inabidi tujipange tukiwa tunaelekea kukutana na liva wakimind kumbe ndo wako hivi
Najua mnakuja kwa kasi ya ajabu kuleta mashambulizi nimejiandaa kuyapokea.Hivi arsenal mmewai kuwa serious kweli?Yani miaka yote iyo hata uefa 1 hakuna kweli kuwa shabiki wa arsenal yapasa kuwa na moyo wa chuma kweli kweli.
Mtu hakiwakuta mnajadili mpira hapa anaweza kujua hii timu ipo serious kweli.
Hii sio kitu ya kukosa kwa timu kama arsenal.View attachment 2540211
Hivi arsenal mmewai kuwa serious kweli?Yani miaka yote iyo hata uefa 1 hakuna kweli kuwa shabiki wa arsenal yapasa kuwa na moyo wa chuma kweli kweli.
Mtu hakiwakuta mnajadili mpira hapa anaweza kujua hii timu ipo serious kweli.
Hii sio kitu ya kukosa kwa timu kama arsenal.View attachment 2540211
Mbona nyie mnapenda sana kuja na makelele yenu ya arsenal invisible.Historic club!
Zama hizo za akina Giggs hawezi kujirudia tena hadi Yesu anarudi
Niw,Man U is laughing stock
Sisi tunachojua jumapili ilikua hivi!😂😂😂Hivi arsenal mmewai kuwa serious kweli?Yani miaka yote iyo hata uefa 1 hakuna kweli kuwa shabiki wa arsenal yapasa kuwa na moyo wa chuma kweli kweli.
Mtu hakiwakuta mnajadili mpira hapa anaweza kujua hii timu ipo serious kweli.
Hii sio kitu ya kukosa kwa timu kama arsenal.View attachment 2540211