Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

JE WAJUA MARTINELLI ALISAJIRIWA AENDE ACADEMY YA ARSENAL (HALE END ACADEMY)

Ila sababu ya uwezo wake hakukaa sana alicheza mechi Kama 5 akapenya timu ya wakubwa

IMG_20230305_184129.jpg
 
Nelson jana alikuwa na utulivilu ambao unaleta matumaini kwa washabiki wengi wa Arsenal, ile performance ya jana ni kama unamuangalia Rafa Leao, vitu vilivyomkwamisha miaka ya nyuma ni nguvu ya mwili, majeruhi, utulivu. Kwa uchezaji ule kitu anachozidiwa na Leao ni kimo na speed.
Leão yuko powerful sana yule mtu
 
Martinell ni hale end academy

He’s actually classed officially as a youth player because he joined as an under 23s player

he is Hale End.

Kwenye picha yupo

SAKA, NELSON, SMITH ROWE ,BALOGUN NA MARTINELLI
IMG_20230305_185122.jpg
 
Arsenyani siwapendi kinoma hasa msimu huu mlivyotunyanyasa pale Emirates banters lazima ziendelee.

Ila Arsenyani mnastahili kubeba ligi, kwanza kwa kazi waliyopiga wachezaji na mashabiki (loyal fans) mliobaki kwa miaka yote hiyo.

Glory hunters wataanza kuvamia timu yenu kama walivyokimbilia City.

Tunawakaribisha woteeeee. Hatuna ugomvi na yeyote anayehitaji furaha.
 
Back
Top Bottom