Muddy pimbi yule alikabwa na matajiri miluzi.Leandro Trossard with another assist for Martin Ødegaard to make it 3-0. Thank you Mykhailo Mudryk for Chosing money over us.
Maisha yatamshinda pale darajaniMuddy pimbi yule alikabwa na matajiri miluzi.
Hawa Eva ameshakandwa za kumtosha awage na adabu.Two for Martinelli Four for Arsenal
Na moyo haupo pale.Maisha yatamshinda pale darajani
Kabisaaaaa, we are the arsenalSwala ni lile lile
Arsenal kushinda siyo habari.
Habari ni Arsenal kufungwa
Na ikawa.2nd half kuna goli zingine 2
Hivi sisi tulimu-offer ngapi? 60k?Na moyo haupo pale.
Sina hakika ila nasikia mshahara haukuwa na tofauti sana, wale waukrane ndo waliharibu baada ya kupewa pesa mingi na msaada etc na tajiri miluzi.Hivi sisi tulimu-offer ngapi? 60k?
Huyo nasikia ana unyosonyoso hatumtaki.Alafu kuna tetesi za sterling kutua arsenal.
Kuna wale jamaa wa;Congratulations to all gunners.
We are the gunners forever.
Binafsi huwa simuelewagi kabisaHuyo nasikia ana unyosonyoso hatumtaki.
Wataja muuza kama nyanya masalo za mafungu.Ana mkataba wa miaka nane na nusu![]()
Wakimuweka sokoni tutapita nae kama mweweWataja muuza kama nyanya masalo za mafungu.
Yule akija huku ana regain his form.Wakimuweka sokoni tutapita nae kama mwewe