Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leo hatujaanza na Natural namba 9 tutawavuruga pale mbelee
Screenshot_20230225_171629_Instagram.png
 
🔴 𝗧𝗘𝗔𝗠𝙉𝙀𝙒𝙎 ⚪️

🧱 Saliba at the back
💪 Xhaka in midfield
🔙 Martinelli returns

✊ Let’s do this, Gunners!
 
Nataman sana kuona jinsi Martinell na Trousaad wanavyo rotate kwenye iyo nafasi, ila ndo nipo mbali kidogo na TV mwenye App nzuri ya kucheki game tafadhali anisaidie
 
Wakumbushe na hii, halafu mtu atakae guna mtie konzi la utosi.

Tulivyo wagonga 3-1 walisingizia walikunywa chai bila Chapartey, ila wao walivyobahatisha kutufunga 3-2 wanajifanya kujisahaulisha kutokuwepo kwa kiungo bora kabisa duniani kwa sasa Carlos Henrique Casimiro.
Hawa kima natamani sana tukutane nao tena Europa tuwashone midomo yao.
3424471-985379829.jpg
 
Oleksandr Zinchenko will captain Arsenal today as a mark of respect and love on the first anniversary of the conflict in Ukraine 🇺🇦
 
🔴⚪️The decision to make Oleksandr Zinchenko captain of Arsenal today was initially Martin Ødegaard’s idea.

IMG_20230225_173441_286.jpg
 
Mashabiki wa arsenal bwana[emoji16][emoji16] nyie arteta mwaka wa ngapi huu hata uefa mjawai gusa sisi kocha mwaka wa kwanza tu tupo tunagombania nafasi za juu juu tu Wakati arteta msimu wa kwanza kama saizi yupo nafasi ya 7 huko.
Sikia kaka, united ni kubwa kuliko arsenal hatupaswi kubishana nao, na msimu huu bado safari ni ndefu na naamin tunamaliza juu yao kwenye league....hawa watabadilika negatively......kinawapoza midomo, jeuri, fedhuri na kiburi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom