Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii mechi imeshakua ngumu Arteta hanaga plan B yaani hatuna on target hata moja first half
 
Nketiah ni forward mzuri sana shida yake ni kutotumia nafasi anazopata vya kutosha.mimi namprefer yeye kuanza mbele kuliko hawa akina Martineli na Trossard ni mpambanaji sana vile vile na ana press vizuri
Anajua kujiposition na kuscore ila huwezi mtarajia arudi kati au acheze pembeni. Mi naona anafaa kwemye 4 2 3 1 kuliko false 9
 
tumecheza game mbaya mno hi first half jpo tunaongza mbili.. kama vile sio wanaopmbania ubingwa w EPL.

hii inatokan n kuw n maingizo mapya mawil y wachezaj kwnye timu ambao n trossard n jorginho.

arteta must find a good solution!
 
Ndicho nilikua nasema juzi 4 3 3 kwa sasa inatupa dominance ila haitufanyi kua lethal kwakua hayupo Jesus.

Ila angalau Trossard learns tofauti na Nketiah. So tuendelee angalia
 
tumecheza game mbaya mno hi first half jpo tunaongza mbili.. kama vile sio wanaopmbania ubingwa w EPL.

hii inatokan n kuw n maingizo mapya mawil y wachezaj kwnye timu ambao n trossard n jorginho.

arteta must find a good solution!
Usikalili maisha unakumbuka game ya leads tulioshinda kwa goal 1 kwa mbinde...kuna baadhi ya match what matter ni 3 points dakika za lala salama izi ucheze vzuri bila matokeo kipi bora
 
Best shooter kwetu ni Martinelli it makes sense kumuweka kati yeye kuliko Martinelli lakini nahisi Trossard anaoffer link up play kwenye hii 4 3 3 better kuliko Nketiah.

Kwa uwezo huo wa Trossard hata Martinelli atapata chances za kuingia kwenye boksi kama mechi iliyopita goli lilivyopatikana. Nketiah ana safari ndefu kidogo kufit kwenye hii false 9
I see you mzeee
 
tumecheza game mbaya mno hi first half jpo tunaongza mbili.. kama vile sio wanaopmbania ubingwa w EPL.

hii inatokan n kuw n maingizo mapya mawil y wachezaj kwnye timu ambao n trossard n jorginho.

arteta must find a good solution!
Unaangalia mpira kweli bro??
Timu inacheza low block unataka ufanye kipi kingine zaid ya individual kama alichofanya Zinny kwenye bao la Saka?
 
Back
Top Bottom