Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

TIMU KAMA MANYUMBU HUWEZI KUONA VITU KAMA HIVI

Positional Play ya Arsenal ( time and space ) : ndio ilimfanya Zinchenko awe kwenye right sided namba 10 , Martinelli baada ya kuachia pasi akaenda nafasi ya Saka na Saka akaingia ndani kama straika kwenye penalty box .

POSITIONAL PLAY kwenye ubora wake
 
Wakati Jorginho yumo uwanjani sikuona kama kiungo tulikua tunashida sana, ila alivyoingia Partey nikajua kumbe dimba la kati linamilikiwa, na kuzimwa mashambulizi ya kushtukiza kupitia katikati kwa njia hii.
Partey Partey Partey [emoji1666][emoji1666]
 
Partey Hana mfanowe

Uzuri tuna option ya Radha tofauti

Yaani Arteta kwasasa anaamua aanze Partey amalize na Gorginho au aanze Gorginho amalize na Partey

Ila Partey yule mwamba Nimemnyooshea mikono
 
Alivyoingia aliituliza game balaa ikawa kama wapo mazoezini
 
Partey Hana mfanowe

Uzuri tuna option ya Radha tofauti

Yaani Arteta kwasasa anaamua aanze Partey amalize na Gorginho au aanze Gorginho amalize na Partey

Ila Partey yule mwamba Nimemnyooshea mikono
Acha kabisa leo kaichukua game yote kaiweka begani kipind cha pili,
Yule Onana leo sikumuona kbs
 
Shikamoo partey
Wakati Jorginho yumo uwanjani sikuona kama kiungo tulikua tunashida sana, ila alivyoingia Partey nikajua kumbe dimba la kati linamilikiwa, na kuzimwa mashambulizi ya kushtukiza kupitia katikati kwa njia hii.
Partey Partey Partey [emoji1666][emoji1666]
 
Najua Jorginho anacheza vizuri so far lakini Partey ni kiboko!

Dk 45 alizocheza ni bora kuliko overall performance ya timu nzima katika dk 45 za 1st half.

Alivyoingia tu, automatically akawa amemu- unlock Ødegaard. Kisha aka dictate ile midfield inavyotakiwa. Ndo hapo zikaanza hizo "Positional Play".

Kila siku nasema, I wish jamaa angekua na miaka 20 and without injuries.

Sio siri I feel unsecured tukicheza na Jorginho, especially kwenye defence, tunakuwa exposed sana. Ila huyu mwamba Partey huyuu!!

Jorginho abaki kuwa chaguo la pili tu.
 
Mara ya mwisho Jorginho kuruka hivi lini!??

Kuna muhuni anaitwa ARV uko wapi mkuu wangu makini
20230302_062317.jpg
 
Kwa mfano Palace tukawaachia Lokonga kisha tukaongeza pesa kwaajili ya Olise tutakua tumefanya dili zuri. Nasikia tunamtaka Ceballos, ana flexibility na skills na fighting spirit ila aligoma kubaki jamaa. Alitaka aende kumrithi Modric au Kroos ila imekua ngumu kidogo.

Ukiangalia wachezaji wengi tuliohusishwa nao wakiwa wanacheza ila wakaenda timu zingine unaona kwamba huyu ndiyo maana alitakiwa kua Arsenal. Mudryk, Camavinga, Locatelli
 
Saka & Martinelli numbers [emoji2962][emoji92]

[emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Bukayo Saka has 10 goals and 9 assists…

…Gabriel Martinelli has 10 goals and 2 assists [emoji1054]

Both 21-year-old, both future of the club [emoji836]️[emoji837] #AFC
 
Najua Jorginho anacheza vizuri so far lakini Partey ni kiboko!

Dk 45 alizocheza ni bora kuliko overall performance ya timu nzima katika dk 45 za 1st half.

Alivyoingia tu, automatically akawa amemu- unlock Ødegaard. Kisha aka dictate ile midfield inavyotakiwa. Ndo hapo zikaanza hizo "Positional Play".

Kila siku nasema, I wish jamaa angekua na miaka 20 and without injuries.

Sio siri I feel unsecured tukicheza na Jorginho, especially kwenye defence, tunakuwa exposed sana. Ila huyu mwamba Partey huyuu!!

Jorginho abaki kuwa chaguo la pili tu.
Partey dunia nyingine yule
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom