hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,286
- 26,693
Kama kuna kazi ngumu waliopata Leicester ni kupiga shuti kuelekea golini kwetu.
Hawakupata kona na shuti halizidi 1 na lenyewe ni nje ya lango.
Arsenal tulipiga kona 8. Passes 600+.
Tazama hapa.
Arsenal ilikuwa na wachezaji wa 4 tu wanaokaba, ndani ya sekunde 3, wakarudi wote na kuwa 10.
Ili ufanye hivi unahitaji kuwa na kocha mwenye akili wachezaji vijana na wanaofundishika.
Thus why wachezaji Kama Auba ,ozil ,Pepe walioneshwa mlango wa kutokea

anguko lenu linakaribia.