Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Eddie Nketiah kwa hisia kali kabisa akiangalia kombe baada kufunga bao maridadi kabisa kwenye fainali ya Carabao cup kati ya Arsenyo vs Newcastle United.
Screenshot_20230227_110357.jpg
 
"Kakombe kenyewe ka Kalagabaho hakafai hata kunywea chai"
Alisikika shabiki mmoja wa Man utd akiwananga na kuwapongeza mashabiki wa Arsenyo baada ya timu yao kubeba kombe.

Ila mashabiki wa Man United wana midomo jamani khaaaaa.
 
Hii picha , Leicester walifanya kaunta ,ndani ya sekunde 3 ,Arsenal wakawa wapo 10 ,hii Kama timu yako Ina wazee huwezi kufanya

Kiernan Dewsbury Hall Kiungo wa Leicester anasema: "Wachezaji wote wa Arsenal wanafanya bidii kwa kila mmoja, ndiyo sababu wako juu ya ligi. Mara kadhaa tulikuwa kwenye kaunta na tukitazama juu tunaona tu bahari nyekundu.View attachment 2531343
Old Trafford mlishindwa nini kufanya hivi? Umekutana na kibonde ni kujisifia tu.
 
Kashangilie koroboi kapu,, tumekupiga, umetupiga it means tumepigana kwahio hakuna mbabe.
Hii picha unaweza kudhani ni kombe wanashangilia ila ni Arsenal wakishangilia kuwepo top 4. 😂😂😂

Carabao ni kombe kubwa sana tutashangilia mpaka tutakapobeba lingine.

Arsenal ni timu ndogo kwetu mpaka siku mkiweza kulipa zile goli 8 (haiwezekani kamwe) 😂

20230227_121458.jpg
 
Acheni huu ujinga, na mkome kabisa kusifia vitu vya hovyo hovyo. Huyo arteta hana hata msimu mmoja wa mafanikio ya maana ukiulizwa unamtaja ni mmoja wa makocha!! Mkushi w jani
Inashangaza sana, mchezaji mwenye akili timamu aache kwenda Chelsea aende Arsenal.

Chelsea wana msimu mbovu tu lakini ukitaja serious clubs pale England huwezi kuacha kuitaja. Muulize mara ya mwisho Arsenyani kushiriki Champions League ni lini?

Arsenal wana msimu mzuri tu lakini levels zao ni Newcastle United.
 
Wana

Wana wachezaji wazuri na mbona wameshindwa kushinda hata mechi Moja tu, inasikitisha Sana kuona timu yenye wachezaji wazuri kama wale afu inafanikiwa tu kufunga bao Moja Katika mechi nne ilizocheza.Hili anguko Ni la kusikitisha Sana kwa kweli.
 
Kwa
Hii picha unaweza kudhani ni kombe wanashangilia ila ni Arsenal wakishangilia kuwepo top 4. 😂😂😂

Carabao ni kombe kubwa sana tutashangilia mpaka tutakapobeba lingine.

Arsenal ni timu ndogo kwetu mpaka siku mkiweza kulipa zile goli 8 (haiwezekani kamwe) 😂

View attachment 2531478
Kwa taarifa yako hiyo Manchester United iliwahi pigwa mabao 8-2 na Arsenal miaka ya 1950's huko.Kama nakudanganya ebu chukua Simu yako ugoogle matokeo ya Man Utd vs Arsenal kuanzia miaka ya 1952- 1956 utapata majibu kamili.Manchester Utd ndo walilipiza kisasi mwaka 2011 baada ya miaka mingi kupita.
 
Willy Jr

Kuna Jambo uliwahi kusema kuhusu Ku control mechi kwa Partey sikukuelewa kipind kile nadhan hukuwakilisha vzr maelezo yako

Partey ana sifa nyingi Sana kumzidi JoJo ,but nimekuja kugundua ukiwa na JoJo unaweza kukamata mechi kwa muda mrefu kuliko Partey
Partey anauwezo wa ku cover Large area , press resistant hii pia JoJo anayo ,

Naomba uwaelezee hawa viungo mafundi wawili

Mech zote anazokuwepo JoJo nimeona tuna % kubwa ya kuitawala muda mrefu Tena kwa 70% possession
JF wangeweka space option km twitter tudiscuss vitu kwa maneno, im not a good writer tho.

kwa off ball qualities, Partey ni zaidi ya Jorginho, sababu Jorginho yupo physically limited, Jorginho can't defend large amount of space, so kuna uwezekano mkubwa Jorginho kuwa exposed kwenye transitions, Arteta alivyomsajili alijua wazi structure ipo compact kuficha madhaifu yake wakati timu haina mpira, wachezaji wetu wanacheza kwenye close distance, rahisi ku counterpress kuficha madhaifu ya wachezaji wasio na physicality km Zinny & Jorginho, mfano kwenye picha uliyoweka ikionesha wachezaji wote kumi wa Arsenal wakirudi Ku defend counter Attack.

kwa on ball qualities, Jorginho ni regista(director), yupo gifted in technique & brain, ubora wake mkubwa upo kwenye matumizi ya mpira i.e uwezo wa kutunza mpira (ball retention), utambuzi wa nafasi ipi awepo kwa wakati husika (positional awareness & to be constantly on the move looking for space to receive), na uchaguzi sahihi wa pasi ( pass selection), kwa hizo sifa juu zinampa uhalali wa ku dictate the tempo of the game. Lakini kuna kitu anacho wanaita la pausa au pauses mfano juzi Leicester akileta pressure, Jorginho anaweka pausa on his game ili ku kill the opposition rhythm, that's how you control game as a Regista.

Lengo langu si ku downgrade partey's talent, wote tunajua ana kipaji kikubwa kuliko Jorginho ila Utofauti wao mkubwa wakiwa na mpira, ninachokiona Partey anakosa pausa, pia partey ana instincts ya kucheza vertical passes sio kitu kibaya cuz ht Jorginho anafanya ila inabidi isiwe tabia kila mara bila ku consider what is going on around the game na hapo ndipo sideways and backward passes zinakuwa na manufaa mchezoni, na of course at times Partey anakuwa sloppy with the ball. All in all, both are good players na Labda kuna siku itatokea kwenye mechi wataanza pamoja tuone vitu adimu.
 
Hongera Sana mkuu kwa uchambuzi mzuri.

Hii picha unaweza kudhani ni kombe wanashangilia ila ni Arsenal wakishangilia kuwepo top 4.

Carabao ni kombe kubwa sana tutashangilia mpaka tutakapobeba lingine.

Arsenal ni timu ndogo kwetu mpaka siku mkiweza kulipa zile goli 8 (haiwezekani kamwe)

View attachment 2531478
Braza hivi unafahamu mwaka 1952, Arsenal tuliipiga Man U goli 8 kwa 2,,

Hivyo Man U ilichukua miaka 59 kufanya alicho wahi kufanywa na Arsenal

Nazani hili ulikua hujuii
images%20(1).jpg
 
Braza hivi unafahamu mwaka 1952, Arsenal tuliipiga Man U goli 8 kwa 2,,

Hivyo Man U ilichukua miaka 59 kufanya alicho wahi kufanywa na Arsenal

Nazani hili ulikua hujuii View attachment 2531568
Unaongelea kitu hujaona Wala hukuwepo hadi ukafukue makaburi google hiyo haiumi ila ukiongelea mambo uliyoyaona na kuyashuhudia yanawaumiza sana
 
Back
Top Bottom