Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ifike Wakati Heshima ichukue mkondo wake hakuna winga Bora Duniani kama Bukayo Saka.. Statistically unstoppable na hatari fullbacks wa EPL wanamjua sisi mashabiki wa Arsenal tunajivunia sio busara kumfananisha na wachezaji wa UnyumbuniView attachment 2530649
Dah nyie jamaaman City ndo yupo nyuma yenu ila mnatuwaza watu wa unyumbuni tu muda wote cool man.
1677440707143.jpg
 
Leicester City boss Brendan Rodgers says Arsenal have ‘outstanding’ player on the bench.

"When you have got the likes of Kieran Tierney on the bench, who is an outstanding player, because of Zinchenko starting, it shows you the quality of the squad.’ [Metro]
 
Wee hiyo Barcelona yako Haina maajabu hata kidogo,kwa kile kikosi Chao hivi unadhani watu uwezo wa kuifunga Arsenal?
Acha kulialia, watu wanaifunga Barcelona na wako kimya wewe unaifunga Leicester unaandika kwa capital bold letters!!! Ujinga utaacha lini? hamis77
 
Willy Jr

Kuna Jambo uliwahi kusema kuhusu Ku control mechi kwa Partey sikukuelewa kipind kile nadhan hukuwakilisha vzr maelezo yako

Partey ana sifa nyingi Sana kumzidi JoJo ,but nimekuja kugundua ukiwa na JoJo unaweza kukamata mechi kwa muda mrefu kuliko Partey
Partey anauwezo wa ku cover Large area , press resistant hii pia JoJo anayo ,

Naomba uwaelezee hawa viungo mafundi wawili

Mech zote anazokuwepo JoJo nimeona tuna % kubwa ya kuitawala muda mrefu Tena kwa 70% possession
Will Jr tafadhali njomba.
 
Hii picha , Leicester walifanya kaunta ,ndani ya sekunde 3 ,Arsenal wakawa wapo 10 ,hii Kama timu yako Ina wazee huwezi kufanya

Kiernan Dewsbury Hall Kiungo wa Leicester anasema: "Wachezaji wote wa Arsenal wanafanya bidii kwa kila mmoja, ndiyo sababu wako juu ya ligi. Mara kadhaa tulikuwa kwenye kaunta na tukitazama juu tunaona tu bahari nyekundu.
332852433_480979200753902_5811612980659753404_n.jpg
 
Back
Top Bottom