Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

REPORTER akimuuliza Unai Emery kwanini walikuwa wanapoteza muda kutaka Draw dhidi ya Arsenal ;

Tumeona Team kama Newcastle United,Everton, Brentford, Man united na Manchester City wakipoteza muda dhidi ya Arsenal.Nimeona hivyo kwenu pia Leo

🗣️UNAI EMERY ;Hyo haipo kichwani Kwangu, haijawahi kuwa idea yangu

Note; Sasa hivi team zimekuna na Mbinu ya kupoteza Muda dhidi ya Arsenal

Man u pale Emirates matokeo yalivyokuwa 2-2 alileta huo ujinga , akapigwa msako akatulia
 
LEE MASON SHUGHULI YAKE IMEISHIA HAPO 😃

Bodi ya Waamuzi nchini England (PGMOL) wanasema ni kwa Makubaliano ya pande zote mbili .Hyo ni kauli ya kiandamizi,Lakini najua wamemfukuza

Huyu ni Mwamuzi ambae alikuwa kwenye chumba Cha VAR kwenye Mechi ya Arsenal dhidi ya Brentford na akasahau kuchora mstari wa OFFSIDE hivyo kuruhusu bao la kusawazisha la Brentford na mechi kumalizika 1-1
 
Saka Mbabe wa 1v1


Fpyx7urX0AUxJaB.jpeg
 
wilsonorumatz_

Hapa Arsenal ilikwenda kushambulia na Leicester City wakafanya shambulizi la kustukiza (Counter attack)​

[emoji3578]Tazama wachezaji wote 10 wamerejea Kuzuia.Wachezaji 3 wapo kwa Kelechi Iheanacho na kumnyima machaguo​

[emoji3578]Mind you Arsenal ndo team yenye wastani wa Umri mdogo zaidi EPL,Miaka 24. Huwezi kufanya hivi kama team yako imejaa wazee​

[emoji3578]Wakati Leicester City alimuweka Tottenham goli 4 hapa.Na akaenda Old Trafford ambapo kwenye kipindi Cha kwanza Performance ya David Degea ndo pekee iliwazuia kufunga Goli 3​

[emoji3578]Jana Dhidi ya Arsenal Leicester city wamemaliza mechi Bila Shot on target.Hii haijawahi kutokea kwenye EPL tangu 2019 XG Philosophy walipoanza kufanya kazi rasmi​

[emoji3578]Ushindi wa 1-0 ni aina ya ushindi ambao Arsenal inahitaji ili kushinda EPL msimu huu.Yes unafunga goli 1,unafunga duka mechi Imeisha.​

[emoji3578] Arsenal ikiwa na mpira ndo team bora zaidi EPL.Lakini Bado inatoa nafasi nyingi Sana za kufunga kwa mpinzani.Hivyo kama utahitaji kufunga 1-0 ili kushinda mechi.I love it.Kwasababu sio mechi zote utafunga goli 2,3,4.​

[emoji3578]Leo sitaki sana kuongelea kuhusu Kwanini Ile faulo ya Bukayo Saka sio Penalty.Kwasababu nimechoka.Baada ya mechi Mwamuzi wa zamani wa EPL Dermot Gallagher amethibitisha ilitakiwa kuwa ni penalty.Lakini ni Arsenal,we move on​

[emoji3578] Jana nilisema Arsenal wana Faida nyingi dhidi ya Leicester City kwenye Kila phase ya mchezo kwaajili ya kushinda hii Mechi.Overload kwenye Buildup na 3-2 wakati Zinchenko akisogea Karibu na Jorginho dhidi ya 4-4-1-1 ya Leicester Arsenal walitoka nyuma kwa urahisi sana.​

[emoji3578] Sometimes Arsenal inaweza kujenga shambulizi na 4-1, Granit Xhaka akisogea kama Left back,na Zinchenko akisogea juu kwenye Half space ya kushoto.So Inategemea tu na mpinzani anaweka watu wangapi kwenye Pressing? Kuna dawa kwaajili ya Kila mtu hapo [emoji2]​

Note;Sitaki kabisa kusema kuhusu penalty tumenyimwa ambayo refa wa zamani Dermot Gallagher amethibitisha ilitakiwa kuwa penalty.Manake I'm tired [emoji42]​

Is it good morning to you watu wa Mungu? [emoji2]​

President​

#mzeewajambia

View attachment 2530551
Acha kulialia, watu wanaifunga Barcelona na wako kimya wewe unaifunga Leicester unaandika kwa capital bold letters!!! Ujinga utaacha lini? hamis77
 
LEE MASON SHUGHULI YAKE IMEISHIA HAPO [emoji2]

Bodi ya Waamuzi nchini England (PGMOL) wanasema ni kwa Makubaliano ya pande zote mbili .Hyo ni kauli ya kiandamizi,Lakini najua wamemfukuza

Huyu ni Mwamuzi ambae alikuwa kwenye chumba Cha VAR kwenye Mechi ya Arsenal dhidi ya Brentford na akasahau kuchora mstari wa OFFSIDE hivyo kuruhusu bao la kusawazisha la Brentford na mechi kumalizika 1-1
Acheni kulialia, msitegemee sana VAR fungeni magoli ya akili kama ya Rashford hamis77
 
Leo baada ya kuchukua kombe letu la Carabao mashabiki wa Chelsea na Liverpool mtakuwa na jukumu la kuwarudisha nyumbani mashabiki wa Man United, wale wa Arsenal ole wenu tukifika banda umiza tukute viti vichafu.
Haiwezekani muje kuona mechi yetu halafu tusiwape kazi, tumewaita?.
FpsSeiBXsAA5Ddf.jpg
 
Si mmetutumia kabarua ka mwaliko dk 5 tu zilizopita? Hata hivyo Nyukesto Hana maajabu kwenu maana kashuka Kasi. Hivyo nategemea mtawapiga tu
Leo baada ya kuchukua taji letu la Carabao mashabiki wa Chelsea na Liverpool mtakuwa na jukumu la kuwarudisha nyumbani mashabiki wa Man United, wale wa Arsenal ole wenu tukifika banda umiza tukute viti vichafu.
Haiwezekani muje kuona mechi yetu halafu tusiwape kazi, tumewaita?.View attachment 2530597
 
Leo baada ya kuchukua taji letu la Carabao mashabiki wa Chelsea na Liverpool mtakuwa na jukumu la kuwarudisha nyumbani mashabiki wa Man United, wale wa Arsenal ole wenu tukifika banda umiza tukute viti vichafu.
Haiwezekani muje kuona mechi yetu halafu tusiwape kazi, tumewaita?.View attachment 2530597
Mechi ni moja tu leo, Yanga na Bamako, huo ujinga wenu hatuna muda.
 
Mechi ni moja tu leo, Yanga na Bamako, huo ujinga wenu hatuna muda.
Willy Jr

Kuna Jambo uliwahi kusema kuhusu Ku control mechi kwa Partey sikukuelewa kipind kile nadhan hukuwakilisha vzr maelezo yako

Partey ana sifa nyingi Sana kumzidi JoJo ,but nimekuja kugundua ukiwa na JoJo unaweza kukamata mechi kwa muda mrefu kuliko Partey
Partey anauwezo wa ku cover Large area , press resistant hii pia JoJo anayo ,

Naomba uwaelezee hawa viungo mafundi wawili

Mech zote anazokuwepo JoJo nimeona tuna % kubwa ya kuitawala muda mrefu Tena kwa 70% possession
 
Ifike Wakati Heshima ichukue mkondo wake hakuna winga Bora Duniani kama Bukayo Saka.. Statistically unstoppable na hatari fullbacks wa EPL wanamjua sisi mashabiki wa Arsenal tunajivunia sio busara kumfananisha na wachezaji wa Unyumbuni
Fpyx7urX0AUxJaB.jpeg
 
Nyie "vibwengo" mpooo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Screenshot_20230226_201138_All%20Goals.jpg
 
[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]
 
Ifike Wakati Heshima ichukue mkondo wake hakuna winga Bora Duniani kama Bukayo Saka.. Statistically unstoppable na hatari fullbacks wa EPL wanamjua sisi mashabiki wa Arsenal tunajivunia sio busara kumfananisha na wachezaji wa UnyumbuniView attachment 2530649
Dah nyie jamaa[emoji16][emoji16]man City ndo yupo nyuma yenu ila mnatuwaza watu wa unyumbuni tu muda wote cool man.
1677440707143.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom