Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unaongelea kitu hujaona Wala hukuwepo hadi ukafukue makaburi google hiyo haiumi ila ukiongelea mambo uliyoyaona na kuyashuhudia yanawaumiza sana
Kwani hiyo yenu sio historiaa,,kuna watu wapo walio shuhudia au kusikia wakati huo kam ilivyo sasa imebaki ni historia.
So tuliwapiga mkatupiga it means tulipigana.
 
Hii picha unaweza kudhani ni kombe wanashangilia ila ni Arsenal wakishangilia kuwepo top 4.

Carabao ni kombe kubwa sana tutashangilia mpaka tutakapobeba lingine.

Arsenal ni timu ndogo kwetu mpaka siku mkiweza kulipa zile goli 8 (haiwezekani kamwe)

View attachment 2531478
Goli 8 hata Barcelona yenye Messi imepigwa hamna jipya hapo
 
Inashangaza sana, mchezaji mwenye akili timamu aache kwenda Chelsea aende Arsenal.

Chelsea wana msimu mbovu tu lakini ukitaja serious clubs pale England huwezi kuacha kuitaja. Muulize mara ya mwisho Arsenyani kushiriki Champions League ni lini?

Arsenal wana msimu mzuri tu lakini levels zao ni Newcastle United.
Na bado watakata moto kuanzia April kama inavomtokea Newcastle United
 
Embu mtafuten assnal maana notingam na tim kubwa zote zinaonekana
IMG_20230227_155545.jpg
 
According to ESPN, head coach Mikel Arteta is a huge fan of Ollie Watkins, with the Spaniard reportedly impressed by the Villa star's versatility to play across the frontline. #afc #coyg
 
Alipoulizwa kuhusu arsenal alipo na Chelsea alikotoka alikuwa na haya ya kusema....

Nilizungumza na Chelsea na ni kweli walisema sikuwa sehemu ya mipango yao,kiasi niliumia maani ni club niliyoizoea na pia nilitaka niendelee kufanya kazi nao...

Kuhusu arsenal...mpaka sasa siamini kama niko hapa nilitakiwa niwe hapa mapema zaidi nilichelewa sana ni club yenye mipango mikubwa sana kwa ndani alafu namna yao ya uchezaji inaendana na namna yangu ya uchezaji hivyo najihisi kuchelewa kufika hapa..
 

Attachments

  • FpRB8v_WAAE036o.jpeg
    FpRB8v_WAAE036o.jpeg
    93.7 KB · Views: 18
Atchana na Gabriel Jesus nitajie false9 Bora kama Trossard. Against Leicester City alifanya ufundi uliopitiliza anauwezo wa ku swept to the left halafu Martinelli anasogea Kati Banga! Kambaaaaa.. hapa opposition defenders wanashindwa marking na inakuwa rahisi kuwaadhibu.
 
Bukayo Saka has always been clear in the last year: no negotiations with other clubs, he only wanted to stay at Arsenal as he loves club, project, coach #AFC New deal agreed one week ago after 13 months talks — it will be signed once final details and documents are sorted.
 

Attachments

  • Fp_KzD2WIAMNIXl.jpeg
    Fp_KzD2WIAMNIXl.jpeg
    35.4 KB · Views: 20

Attachments

  • Fp9ljBuXsAA4kTF.jpeg
    Fp9ljBuXsAA4kTF.jpeg
    43.9 KB · Views: 16
Inashangaza sana, mchezaji mwenye akili timamu aache kwenda Chelsea aende Arsenal.

Chelsea wana msimu mbovu tu lakini ukitaja serious clubs pale England huwezi kuacha kuitaja. Muulize mara ya mwisho Arsenyani kushiriki Champions League ni lini?

Arsenal wana msimu mzuri tu lakini levels zao ni Newcastle United.
Mwanitesa united fan
 
Niambie kitu kingine "cha maana" aliwahi kushinda huyu akiwa kocha na miaka yote aliyocheza. Ukimtukuza huyu sijui Mourinho, Klopp, Tuchel wafanye nini sasa.
Arteta baadoo anasafari ndefu sana, hana uzoefu hata wa miaka mitano kwenye swala la ukocha mkuu,, ila mpaka sasa ni tishio sana kwa kizazi cha mpira wa kisasa

Ligi ya Uingereza ni ngumu sana, muulize Steve G, muulize sasa Patrick Viera.

Sisi tutapebaba tu hayo na tunaelekea uko.

Arsenal chini ya Arteta Mikel tutachukua
Premier 3.
Uefa 2.
Europa 1.
Fa 3.
Badae ataenda Barcelona au Madrid.

Mnaumia mkiwa wapi.
 
Tunakumbushana Martinelli ni moja ya mafundi boli pale EPL sisi mashabiki wa Arsenal tunajivunia. Pulled out Messi Technique against Leicester City halafu pale Matofali ya kuchoma mchezaji anazunguuka kama Rose Mhando anajiona fundi..
Fp_6U9mXgAUaILh.jpeg
 
Niambie kitu kingine "cha maana" aliwahi kushinda huyu akiwa kocha na miaka yote aliyocheza. Ukimtukuza huyu sijui Mourinho, Klopp, Tuchel wafanye nini sasa.
Kweli ww ARV zinakusumbua ,kwani Klopp ,mou as maplayer wameshinda Nini?

Arteta ndio ana miaka 3 kwenye career ya ukocha na anaenda kuwa tishio

Ungeleta mafanikio ya kocha wako ambaye ni mkubwa hata kwa Pep
 
Back
Top Bottom