Ramsey kuna kipindi alikuwa anhezeshwa kiongo katika game ambazo Cesc alikuwa anamiss,na alionekana kucheza vizuri tu,akipewa anafasi anaweza kuziba pengo la Cesc.....
Kingine ni kwamba Wenger naye anatakiwa aondolewe Arsenal,tupate meneja mpya ambaye atatuletea makombe badala ya huyu anayetaka kuwala chenga wenzie...Wenger aondolewe sasa,akiendelea kuwepo hadithi zitakuwa zilezile za kujenga timu kwanza(for 6 years?)
Ukweli ni kwamba Arsenal tunatakiw kujivua gamba mkuu wangu,na gamba litavuliwa kwa kumuondoa Meneja Arsene Wenger na wachezaji wazembe kama Chamakh,Diaby,Arshavin,Rosicky,Almunia,Fabianski,Denilson,Squilaci,Koscienly,Wakuu mbona leo sisikii mkisema WENGER aondolewe??hahaha kumbe mkishinda mnakuwaga wapole kabisa au sio??haya bana ila inabidi muwe na msimamo.....
Ushindi wa leo ni kwajili yako hommie .... miss you loads, btw . How are you in the heaven Mfuasi?!! am sure wenger atasikia kilio chetu kufanya mabadiliko
Manda waambie Arsenal haupati kikombe kwa kuifunga Man Utd, Ila I can see why Arsenal are happy maana mara ya mwisho kutufunga ilikuwa 2008 sijui.
Haya watani tukutane tena baadaye wakati wa MOTD 2.
hivi mkuu kwanini wenger alimuuza kolo toure...??!!!
Comment ya kwanza kuhusiana na Wenger aondolewe Arsenal, maana kwingine kote nilikopitia kila mtu amesahau machungu yote ya msimu huu.
Hata mimi huwa nashangaa mkuu,unamuuza ngangari Kolo Toure unamnunua legelege Squilaci ama Koscienly,kisa wafaransa....I wish Kolo angekuwa anacheza na Vermaellen,tungekuwa na ukuta mzuri sana...
Hongereni ,naona mmesahau matatizo ya Mzee Wenger leo.Tutaonana next week
Wenger hana matatizo hakuna timu iliyopo kwenye EPL na CL ambayo hawataki awe manager wao Wacha unoko wewe. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Imetosha mkuu.....unajaza thread na crap sasa teh teh teh teh teh.....ninafuraha pia next week tunawachapa basi......
Naona gego la mwisho limekutoka mshindwe wenyewe chichi tunachonga mbele .... .. nasikia jana mlifanya kufuru kumwaga mpunga? Hata peasant alishehereka. Chacha njomba EPL imefika patamu ngoma inogile mwaya ... ... khe khe kheeeeeee the domino effect is now on ... ..
Okey okey! Get a cup of coffee relax....don't post anything for the next 24 hrs........!
But I'm only halfway to what I wanna post? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu natamani ningekuona hapo ulipo nadhani ningecheka sana. Kwa ushindi huu wa leo kuna kina namna ya kujipongeza,naona sasa ni muda maalum wa kuchukua hizo Milioni za Barca,kwani Ramsey kesha rudi kwenye usukani.Kuna dkk nne za nyongeza natetemeka hapa niko very restless duh!
Ningemshauri Wenger kutokununua kipa mwingine huyu dogo anafaa sana ila anatakiwa aongezewe madefender wazuri wa kumsupport,Dogo hababaiki golini.Kwa jinsi alivyo imara golini ni kama Joe Hart wa Man city.Au mkuu unaonaje?Dogo golini leo safi sana tulia hivyo hivyo hamna presha.
dakika nne hizo arsenal we can do it.
Chizi wewe! Teh teh teh kula raha ushindi una raha nevertheless nawakumbuka Bolton!