Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

680212B1-5B5C-4424-8A5F-F9C0136D709B.jpeg

Shangilieni lakini msituguse, tutapasua mshono
 
We mrembo dadamlamayao umeamua kuja na Id mpya, tumia tu Id yako ya dada mla mayai ndio imekaa kiutamu utamu.

Hatimae tembo karudi juu ya mti na atadumu hapo juu kwa dakika 30 kisha anadondoka tena chini na tawi lake.

Arsenal Kondoo
Nketiah KiatuView attachment 2521824
Leo Nketia anasemwa balaa, bora Martineli wamemsahau🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Zuwena wanamabadiriko sanaa
 
Nawaonea huruma Northigham forest hapa dah! Hawa City watawatoa nyongo hawa watoto bure
 
Leo Nketia anasemwa balaa, bora Martineli wamemsahau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Zuwena wanamabadiriko sanaa
Halafu kuna kima moja humu ilikua inadai Nketiah ni bora kuliko Rashford[emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_-1293199984_512x637.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom