Halafu kuna kima moja humu ilikua inadai Nketiah ni bora kuliko RashfordLeo Nketia anasemwa balaa, bora Martineli wamemsahauZuwena wanamabadiriko sanaa


Zipo au niseme errors zinafanywa na system.Sijacheki gemu wakuu, performance ya timu mmeionaje? Zile individual errors bado zipo?
Dakika ya 37 forest hajaruhusu goli. Hongera yakeNawaonea huruma Northigham forest hapa dah! Hawa City watawatoa nyongo hawa watoto bure
Kipa wa Villa anaitwa Martinez. Wameamua liwe own goalYote la tatu na nne
CheerzEverton
Martinez haipendi Arsenal
Sisi na yeye uhusiano wetu umekua wa mtu na mpenzi ambao wameachana kwa kisasi.
Baada ya 2-2 akawa anaoverdelay mpaka akapata yellow, akiwa ana hamu ya kuhakikisha poetic justice inatendeka akaenda mbele muda wa kona kusaidia mashambulizi ili Villa ipate suluhu, hii ikawa a blessing in disguise na ikatupa goli la nne.
Hata hivyo bado naamini tunatakiwa kurudi kwenye 4 2 3 1
Washabiki huwa mnafurahisha sana!
Nimekuwekea 3000Tuongezeeni pesa kidogo basi kwa Jorginho
NMB BANK
202134578880
CHELSEA FOOTBALL CLUB
Ulisema tembo atakaa hapo kwa dakika ngapi?We mrembo dadamlamayao umeamua kuja na Id mpya, tumia tu Id yako ya dada mla mayai ndio imekaa kiutamu utamu.
Hatimae tembo karudi juu ya mti na atadumu hapo juu kwa dakika 30 kisha anadondoka tena chini na tawi lake.
Arsenal Kondoo
Nketiah KiatuView attachment 2521824