Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,395
- 6,556
Jojinaaaaa
apa ndipo unapata kapicha cha title pretenders na title contender
🤣🤣🤣🤣🤣hatimae umejitokeza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji106]
Nkeita angekosa hapo
Unauhakika?!Jorginho big NO
Difficult game so far kwa season hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hatimae umejitokeza
Basi sawaa,, ngoja tuone mwez mayHata top four hatuwezi kuingia kwa style hii tatizo la Arsenal ni Kroenke
Sijawahi kuwatakia mafanikio wana London mkafungwa, inadhihirisha jinsi gani heri yangu kwenu haina kinyongo chochote.Daaah hivi kweli kabisa chama letu la London linatukwamisha hivi daaah [emoji849][emoji26][emoji2960]
Arse8 nawatumainia mtafanya come back nzuri tu maana bado naamini mtabeba kombe la EPL 2022/2023
Mze umekomaa,, haya let hiyo namba tukufanyie muhamala,, [emoji846][emoji846]Wazee tuongezeeni hata pesa kidogo kwa Jorgnho
Kamati ya roho mbaya toka Man Utd [emoji38]Sare inawatosha
Sawa ZuwenaMkishinda niiteni mbwa au zuwena wa mondi
So far, jorgii ni kam ameanza na timu toka, season ya kwanzaKuna wawili hapa tulisema Jorginho hapana, tulishambuliwa sana
TumekusikiaMkishinda niiteni mbwa au zuwena wa mondi