Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenyege
Arsepungaz
Jamani tupunguzeni posts ambazo pia zinatufanya tuonekane vijana wa hovyo, najuwa mpira unaambatana na utani ila sio huu. Nikijaga kwenye jf platform ya sport uwa najiuliza iweje JF mods waliacha jukwaa hili lijiendesha lenyewe bila kufata sheria za JF kwa ujumla? Guys tufike pahala kabla ya ku-type na kupost tujiulize sisi ni akinanani katika jamii? Lakini tuzingatie tunachokiandika mtandaoni kinaishi miaka yote na tutakutana nacho pindi tushazeeka na tutajiona hovyo katika jamii ya wakati huo.
 
Uongo huo hiyo ni uongo bhan
Arsenal beseni
Haaland kiatu
#washika ukuta wa London
 
Nyie Mafarisayo Leo mchana wa jua la utosi mtakua Villa Park ndani ya jiji la Birmingham.
Nawakumbusha tu kule mnaenda kukutana na kina Douglas Luiz, Ollie Watkins, Philippe Coutinho, Emiliano Buendia, Boubakar Camara, Ashley Young, Leon Bailey, Alex Moreno, Matty Cash bila ya kumsahau golikipa bora kabisa wa michuano ya kombe la dunia Emiliano Martinez.

Prediction
Villa 3 - 1 Asenyo

Arsenal Kondoo
Haaland kiatu
Screenshot_20230217_143445.jpg
Screenshot_20230217_143343.jpg
Screenshot_20230217_143425.jpg
 
Jamani tupunguzeni posts ambazo pia zinatufanya tuonekane vijana wa hovyo, najuwa mpira unaambatana na utani ila sio huu. Nikijaga kwenye jf platform ya sport uwa najiuliza iweje JF mods waliacha jukwaa hili lijiendesha lenyewe bila kufata sheria za JF kwa ujumla? Guys tufike pahala kabla ya ku-type na kupost tujiulize sisi ni akinanani katika jamii? Lakini tuzingatie tunachokiandika mtandaoni kinaishi miaka yote na tutakutana nacho pindi tushazeeka na tutajiona hovyo katika jamii ya wakati huo.
Ukiona mtu anaandika huo utumbo ujue ndo tafsiri ya akili yake ilivyo.
 
Nionyeshe post ya timu yako City ikipinga ushoga.

Ukishindwa, tafuta ya timu yeyote duniani.

Kisha fanya hivi google jina la timu yeyote ya Uingereza kisha mbele malizia na gay supporters.
Labda lugha inawasumbua Hawa watu. Wanashindwa kutofautisha team na supporters. Usiwalaumu. UShabiki unakuwaga na vyama kibao kama Tanzania Gooners (ambapo Yuko Aaron na wanatoa misaada Kwa jamii kabisa kama chama Cha mashabiki wa arsenal), Indian Gooners nk. Na Kila club ina chama Cha supporters ambao ni gays, mfano Cha ManUtd kinaitwa Rainbow Devils. NA siyo kwenye mpira tu, karibia Kila kitu chenye following na influence kina subset ya gay followers, iwe mwanamuziki, mwanasiasa au chama Cha siasa mpaka movies na series kama Star Wars nk
 
Labda lugha inawasumbua Hawa watu. Wanashindwa kutofautisha team na supporters, usiwalaumu. UShabiki unakuwaga na vyama kibao kama Tanzania Gooners (ambapo Yuko Aaron na wanatoka misaada Kwa jamii kabisa kama chama Cha mashabiki wa arsenal), Indian Gooners nk. Na Kila club ina chama Cha supporters ambao ni gays, mfano Cha ManUtd kinaitwa Rainbow Devils. NA siyo kwenye mpira tu, karibia Kila kitu chenye following na influence kina subset ya gay followers, iwe mwanamuziki, mwanasiasa au chama Cha siasa mpaka movies na series kama Star Wars nk
Elimu elimu elimu-Lowassa.
 
Labda lugha inawasumbua Hawa watu. Wanashindwa kutofautisha team na supporters. Usiwalaumu. UShabiki unakuwaga na vyama kibao kama Tanzania Gooners (ambapo Yuko Aaron na wanatoa misaada Kwa jamii kabisa kama chama Cha mashabiki wa arsenal), Indian Gooners nk. Na Kila club ina chama Cha supporters ambao ni gays, mfano Cha ManUtd kinaitwa Rainbow Devils. NA siyo kwenye mpira tu, karibia Kila kitu chenye following na influence kina subset ya gay followers, iwe mwanamuziki, mwanasiasa au chama Cha siasa mpaka movies na series kama Star Wars nk
Ukiachilia lugha inawezekana kuna utoto au kushindwa kua aware na vitu vinavyoenda. Watu wa hivi ndiyo wamejaa kwenye haya majukwaa
 
Jamani tupunguzeni posts ambazo pia zinatufanya tuonekane vijana wa hovyo, najuwa mpira unaambatana na utani ila sio huu. Nikijaga kwenye jf platform ya sport uwa najiuliza iweje JF mods waliacha jukwaa hili lijiendesha lenyewe bila kufata sheria za JF kwa ujumla? Guys tufike pahala kabla ya ku-type na kupost tujiulize sisi ni akinanani katika jamii? Lakini tuzingatie tunachokiandika mtandaoni kinaishi miaka yote na tutakutana nacho pindi tushazeeka na tutajiona hovyo katika jamii ya wakati huo.
Umeongea point sana,football is for fun,ila tunapofika tunaanza kuandika upuuzi inakua sio FUN tena bali ni UTOTO..
 
Back
Top Bottom