Sitaki. NiueniPunguza makala kubali umekandwa
Kwanza amka unywe chai
Hatimae ameanguka [emoji23][emoji23]View attachment 2519016
ASENALI KAMA ZUWENA!We ni kiazi kwenye mpira. Kwenye kuandika ujinga nakubali umenizidi
Wanadai walikunywa chai kavu bila Chapati(Partey)Nyie Mbwa, nawauliza tena jana mlitimia au bado mlikuwa pungufu??
ASENALI KAMA ZUWENA!Mashabiki wa arsenyani bana.
wakiwa wanashinda unaweza ukadhani ligi inaisha kesho kutwa ila wakipigwa wanaanza kusisitiza ligi bado.
Nimesikia kuna mtu analalamikia hili🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanadai walikunywa chai kavu bila Chapati(Partey)
Naam!
Na bado[emoji23][emoji23][emoji23]Poor performers yesterday
- Tomiyasu
- Odegaard
- Nketiah
- Gabriel
- Martineli
- Xhaka
Mtu mwenye akili asingeweza kuwalinganisha Rashford na Martinell kwa upande wa ufungaji magoli.Yani Martinel ni best goal scorer kuliko Rashford we kweli Arsenyeto
Kaa kwa kutulia dada tukutane MayMashabiki wa arsenyani bana.
wakiwa wanashinda unaweza ukadhani ligi inaisha kesho kutwa ila wakipigwa wanaanza kusisitiza ligi bado.