Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa yale mashati yenu kama waganga wa kienyeji yataanza kupungua mtaani.

Mnatakiwa kujifunza toka jukwaa la man utd,siku tukifungwa tunampa heko mpinzani,tunajikosoa na tunaendelea na safari. Lakini uku arsenal jukwaa limejaa wajuaji kumzidi hata arteta na bench zima la ufundi kisa mchezaji mmoja kukosea mara moja.

Mwaka 2003 zilibaki mechi 8 arsenal akiwa anaongoza ligi kwa point 15 dhidi ya man utd ila hadi msimu unaisha,man utd akawa bingwa wa epl. Historia huwa haidanganyi.
 
That's soccer, tusonge mbele. We're in deep shyte though.
 
Wewe subiri city akuzidi points na muwe mnalingana naye idadi ya michezo mliocheza yani ubingwa mtaanza kuusahau tu.
 
Polee mpendwa yatapita
 
Yeah mapambano bado nitaamini tumepoteza ikifuka Mei Mimi bado naimini timu
 
Muda bado gunners keep trust tumefungwa na timu Bora zaidi yetu tujipange kivingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…