Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Naona Fabregas kaumia from nowhere kweli timu yetu kiboko.
Vipi wakuu wa ARSENAL mpo???naona yupo mmoja tu ambaye ni ARSENAL WENGER......
Na tumeanza kwa kasi sanaa.
Na tumeanza kwa kasi sanaa.
pasi nyingiiiiii kama kawaida yetu.
mwisho wa siku kibao kinasomeka vibaya upande wenu[/QUOTE
Naona vidic kakutoa na mkono wake wa shetani.
Naona vidic katunyima goli kwa kutumia mkono .wana bahati sana kadi nyekundu hile.
akili mingi sio bahati
mshika kibendera kaiona hile ya vidic kabana kama kawaida yao kutafuta timu ya kuibeba.
angalia vizuri position ya refa na mshika kibendera kama wangeweza kuona lile tukio usilaumu tuSio nshika kibendera tu. hata refa aliuona ule mkono. ila hii game tumewashika sana hstukutumia nafasi zetu vzr. we just had a beatiful first half.