Kwani hili genge la wahuni leo alichezi?
Njoo ukoment we mtuKwani hili genge la wahuni leo alichezi?
Jifunze nidhamu na staha mnapotembelea majukwaa ya watu
Umedroo kwako pumzi unaitolea wapi ,mnatupigia makelele na timu yenu ya kuungaunga kama mabehewa ya treni ya Mwakyembe.Arsenyani nawakumbusha tu hii ni ngwee(mzunguko/round) ya pili ligi bando ndefu, wanaume wenye pumzi ya kutosha ndio watakaobaki top4.
Vip kwenu kumechangamka tokea usiku wa jana.Toka mzibuliwe na Everton pamepoa sana hapa ndani.
Yaani hadi ww Chelsea nguvu za kuisema Arsenal unazitolea wapi na kwa timu gani.Kwenye hii fixture huyu arse8 anapoteza zote hapo
Huoni ngoma imeisha sare ile?
Hivi mngeshinda jana mngekua nafasi ya 2?Huoni ngoma imeisha sare ile?
Nyie mulipigwa kimoja mukashindwa kurudisha.
Sisi mpaka dakika ya 50 tayari tulikua tumeshapigwa goli 2 kwa bila, ila wanawaume tulipiga comeback ya hatari ndani ya dakika 20 tukarudisha magoli yote, nyinyi watoto wa kiume dada Ever kawagonga kimoko tu na mkashindwa kukirudisha.Umedroo kwako pumzi unaitolea wapi ,mnatupigia makelele na timu yenu ya kuungaunga kama mabehewa ya treni ya Mwakyembe.
Nyumbani kwako,unajivunia kutoa droo halafu unajiuta kidume,labda kama mchicha mwiba.Sisi mpaka dakika ya 50 tayari tulikua tumeshapigwa goli 2 kwa bila, ila wanawaume tulipiga comeback ya hatari ndani ya dakika 20 tukarudisha magoli yote, nyinyi watoto wa kiume dada Ever kawagonga kimoko tu na mkashindwa kukirudisha.
Title Contender mlikojozwa dakika ya kwanza tu na kuvunja Rekodi ya kuwa wa kwanza KUKOJOZWA mapema tangu Ligi ianzeSisi mpaka dakika ya 50 tayari tulikua tumeshapigwa goli 2 kwa bila, ila wanawaume tulipiga comeback ya hatari ndani ya dakika 20 tukarudisha magoli yote, nyinyi watoto wa kiume dada Ever kawagonga kimoko tu na mkashindwa kukirudisha.
| Ødegaard on before signing with Arsenal:
| Ødegaard: “He told me his plan, everything he was building towards. He knew exactly what needed to change at the club. He told me all about these amazing young players in the squad — Saka, Martinelli, Smith Rowe, etc., etc.” #afc
| Ødegaard: “Not just me, my whole family, friends and everyone I follow! It’s such an amazing, active fan base. Random people I know would show me how the comments on their posts were full of stuff like “Tell Martin to sign for Arsenal.””Kwenye EPL msimu huu tumefungwa goli 1 tu la set piece, dhidi ya Everton.Hivi imekuaje msimu huu tunafungwa sana magoli ya set pieces? Msimu uliopita tulikua vizuri ila safari hii tunafungwa sana na hata ufungaji wa magoli ya set pieces umepungua